Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Eeeeht watuchukue wote kuna Nyakat Kabisa unaingia kwny Written unaona dhamira ya mtunzi wa Mtihan ni kuondoka na Majority Upande wake(NOT SELECTED) na kuwaacha Minority (SELECTED) .
 
Mkuu hii Scnerio naikumbuka sana huko nyuma Ila huyo jamaa(sijui ndo wewe!!)nilimjibu kisiasa.. haiwezekani taasisi Fulani imetangaza kazi halafu mtu umeomba then ye anakuja kukuuliza umesoma Chuo Fulani..? Kana kwamba wanaotakiwa hapo ni waliosoma chuo Fulani tu...? Mbona nafasi zilitangazwa na watu tofauti waombe..
So sipendagi watu kama hawa coz wamekaa kwa ajili ya kukatishana tamaa ndo maana nilimjibi vile najua asingeweza kuendelea na alichokawa anataka kukusudia Kusema.

Ndo maana nimesema huko juu(Muktadha wa swali lake haukuwa sahihi ndo maana nilijibu vile na Wala siogopi lolote kuhusu Hilo azidi kuchambua quotes na aweke humu ila ukweli ndo uko hvyo Mimi NAJIKUBALI NA NAJIAMINI siku zote, I don't care for that)
Ulitumia akili, maana kuna watu kutwa kudanganya wenzao kuwa kama hujasoma hapo huwez kuajiriwa nao....
 
Eeeeht watuchukue wote kuna Nyakat Kabisa unaingia kwny Written unaona dhamira ya mtunzi wa Mtihan ni kuondoka na Majority Upande wake(NOT SELECTED) na kuwaacha Minority (SELECTED) .
Zile paper za Written unaweza ukasoma sana na ukapigwa tu.Ni Ile uwe umepita walimopita wao kutunga maswali.Na unaweza kuona paper nyepesi kumbe Ndio ngumu ikatoa matokeo Hasi.
 
Back
Top Bottom