Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yes ndio hivyo,ukipata ripoti piga kazi.Ukiwa mtumishi wa Umma unaweza kuhama muda wowote.
Sema Vijana wengi mnapenda Taasisi Fulani kwa kusikia tu,ilhali unaweza ingia taasisi uliyopatia kazi na ukafurahia maisha ya kazi vizuri tu
Huyo Mshikaji kitu kikubwa kilichomvutia kwenye hyo Taasisi nyingine ni Mahali taasisi ilipo(yaan Mkoa).
 
Inauma mno, i have experienced this ndo maana mpk leo less kwenye expectation....
Dah pole kaka.Lakini Mungu ni mwema.Usisite kuangalia PDF lolote linalotoka.Na kama Kuna nyingine pia waisubiri pia usisite kuliombea.
Mungu ndio anaamua Kesho zetu.
 
Huyo Mshikaji kitu kikubwa kilichomvutia kwenye hyo Taasisi nyingine ni Mahali taasisi ilipo(yaan Mkoa).
Sasa jamaa si akiingia tu,anaweza mtafuta mtu kwenye hiyo Taasisi anayofanyia kama Kuna mtu anahitaji wakabadilishana vituo vya kazi...
 
Wazee wa TARI,HESLB,OUT,RUWASA,TAEC na wengino mliofunga mwaka 2022 kwa saili pale PSRS- Asha Rose Migiro, DODOMA mpoo??
Hyo HESLB ya mwezi wa 11 Mwanzohadi Leo haijatoka, tutarajie kuanzia ferbuary.. Hizo sijui TARI, ASA ndio baaaaaado kabisaaaaaaa
 
Dah pole kaka.Lakini Mungu ni mwema.Usisite kuangalia PDF lolote linalotoka.Na kama Kuna nyingine pia waisubiri pia usisite kuliombea.
Mungu ndio anaamua Kesho zetu.
Shukurani sana kaka, we believe haya ni mapito ya safari ambazo tutafika kwa nyakati tofauti tulizopangiwa. Mungu ni mwema siku zote atubariki katika placement na saili zijazo
 
Vp mkuu, uliwakanda vizuri kwenye written na Oral maana kama uhakika ulipitiliza
Ilikuwa interview yangu ya kwanza kbs, ilikuwa na practical na niliwajibu kadri navyoweza ila tulikuwa wengi watu 48 kwa nafasi16[emoji3][emoji3][emoji3] ratio yao kbs,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…