Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,859
- 4,539
Ile ya Microfinance ambayo unaikumbukaga..?Inauma mno, i have experienced this ndo maana mpk leo less kwenye expectation....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ya Microfinance ambayo unaikumbukaga..?Inauma mno, i have experienced this ndo maana mpk leo less kwenye expectation....
Huyo Mshikaji kitu kikubwa kilichomvutia kwenye hyo Taasisi nyingine ni Mahali taasisi ilipo(yaan Mkoa).Yes ndio hivyo,ukipata ripoti piga kazi.Ukiwa mtumishi wa Umma unaweza kuhama muda wowote.
Sema Vijana wengi mnapenda Taasisi Fulani kwa kusikia tu,ilhali unaweza ingia taasisi uliyopatia kazi na ukafurahia maisha ya kazi vizuri tu
Baada ya Miaka mitatu,ndio uhamisho.Sheria ya Utumishi wa Umma.Kwahyo kama ikitokea placements imetoka na kapata anaweza kushift kwenda taasisi pya aliyoitwa..?
Dah pole kaka.Lakini Mungu ni mwema.Usisite kuangalia PDF lolote linalotoka.Na kama Kuna nyingine pia waisubiri pia usisite kuliombea.Inauma mno, i have experienced this ndo maana mpk leo less kwenye expectation....
Sasa jamaa si akiingia tu,anaweza mtafuta mtu kwenye hiyo Taasisi anayofanyia kama Kuna mtu anahitaji wakabadilishana vituo vya kazi...Huyo Mshikaji kitu kikubwa kilichomvutia kwenye hyo Taasisi nyingine ni Mahali taasisi ilipo(yaan Mkoa).
Taasisi tofauti Inawezekana kuchange..?Sasa jamaa si akiingia tu,anaweza mtafuta mtu kwenye hiyo Taasisi anayofanyia kama Kuna mtu anahitaji wakabadilishana vituo vya kazi...
Yeah kaka, niliitegemea sana nikalia saivi nishakomaa world humbles me.Ile ya Microfinance ambayo unaikumbukaga..?
Kama majukumu yanaendana,na huyo anayeombwa km yupo tayari kwenda hiyoTaasisi X...Taasisi tofauti Inawezekana kuchange..?
Hyo HESLB ya mwezi wa 11 Mwanzohadi Leo haijatoka, tutarajie kuanzia ferbuary.. Hizo sijui TARI, ASA ndio baaaaaado kabisaaaaaaaWazee wa TARI,HESLB,OUT,RUWASA,TAEC na wengino mliofunga mwaka 2022 kwa saili pale PSRS- Asha Rose Migiro, DODOMA mpoo??
Shukurani sana kaka, we believe haya ni mapito ya safari ambazo tutafika kwa nyakati tofauti tulizopangiwa. Mungu ni mwema siku zote atubariki katika placement na saili zijazoDah pole kaka.Lakini Mungu ni mwema.Usisite kuangalia PDF lolote linalotoka.Na kama Kuna nyingine pia waisubiri pia usisite kuliombea.
Mungu ndio anaamua Kesho zetu.
Lakini Kuna Placement nyingine wasikilizia au wasubiri matokeo Kwa Sasa?Yeah kaka, niliitegemea sana nikalia saivi nishakomaa world humbles me.
Mkeka wa Saili za November umekaaje kwani/Ilikuwaje??Hyo HESLB ya mwezi wa 11 Mwanzohadi Leo haijatoka, tutarajie kuanzia ferbuary.. Hizo sijui TARI, ASA ndio baaaaaado kabisaaaaaaa
Vp mkuu, uliwakanda vizuri kwenye written na Oral maana kama uhakika ulipitilizaYeah kaka, niliitegemea sana nikalia saivi nishakomaa world humbles me.
Zipo nasikilizia mkuu na matokeo ya MDA nasubiri na tar 29 ninajambo pale udom[emoji3][emoji3][emoji3]Lakini Kuna Placement nyingine wasikilizia au wasubiri matokeo Kwa Sasa?
Kila lakheri Mungu akawe nawe kwenye hizo hatua zote.Zipo nasikilizia mkuu na matokeo ya MDA nasubiri na tar 29 ninajambo pale udom[emoji3][emoji3][emoji3]
Ilikuwa interview yangu ya kwanza kbs, ilikuwa na practical na niliwajibu kadri navyoweza ila tulikuwa wengi watu 48 kwa nafasi16[emoji3][emoji3][emoji3] ratio yao kbs,Vp mkuu, uliwakanda vizuri kwenye written na Oral maana kama uhakika ulipitiliza
Ameen mkuu, tuko pa1Kila lakheri Mungu akawe nawe kwenye hizo hatua zote.
[emoji3][emoji3][emoji3]Hyo HESLB ya mwezi wa 11 Mwanzohadi Leo haijatoka, tutarajie kuanzia ferbuary.. Hizo sijui TARI, ASA ndio baaaaaado kabisaaaaaaa