Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Naamini kama SELF Microfinance haukupata tambua kua Kuna nafasi yako nzuri inakuja. Remember Nothing is impossible under the sun that's why the word itself say I'm-possible. May Almighty God grant us success, grace and blessing. 2023.Ilikuwa interview yangu ya kwanza kbs, ilikuwa na practical na niliwajibu kadri navyoweza ila tulikuwa wengi watu 48 kwa nafasi16[emoji3][emoji3][emoji3] ratio yao kbs,
Ukifika Oral kwanza wale PSRS hukupongeza,mengine yanayofuatia Hapo ni Bahati tu kwa kweli.Kuna watu wengine huwa wanatoka kwenye chumba wanalia baada ya oral,lakini mwisho wa siku unakuta kwenye PDF yumo.Haya mambo ni Bahati tu,na kama Mungu kasema iwe yako unakuwa yako tu.Vp mkuu, uliwakanda vizuri kwenye written na Oral maana kama uhakika ulipitiliza
Yaaah ratio ya 1:3 sio kitoto mkuu Mungu tu anasaidia unakuta mtu kapita hata mwenyewe hakuwaza.Sema nyie wengi mko database mkuuIlikuwa interview yangu ya kwanza kbs, ilikuwa na practical na niliwajibu kadri navyoweza ila tulikuwa wengi watu 48 kwa nafasi16[emoji3][emoji3][emoji3] ratio yao kbs,
Swali lako halijaeleweka, liweke vizuri hapo kwenye asali Toyota nimekwama.Hivi kuna mwamba asali Toyota alieshindwa kujibu swali kweny oral na akapata kazi ?
Hebu edit Tena swali lako...Hivi kuna mlamba asali yeyote alieshindwa kujibu swali kweny oral na akapata kazi ?
Ameen kk God is Good all the time, atubariki sote humu kwa nyakati zetu..ameenNaamini kama SELF Microfinance haukupata tambua kua Kuna nafasi yako nzuri inakuja. Remember Nothing is impossible under the sun that's why the word itself say I'm-possible. May Almighty God grant us success, grace and blessing. 2023.
Umeongea kweli mkuu, baada ya oral kifuatacho ni muda ambao Mungu kakuandikia utokee hiyoUkifika Oral kwanza wale PSRS hukupongeza,mengine yanayofuatia Hapo ni Bahati tu kwa kweli.Kuna watu wengine huwa wanatoka kwenye chumba wanalia baada ya oral,lakini mwisho wa siku unakuta kwenye PDF yumo.Haya mambo ni Bahati tu,na kama Mungu kasema iwe yako unakuwa yako tu.
Jamaa alifanya saili 7 NOT SELECTED to NULL
Usaili wa nane Ikawa SELECTED to NuLL na ndio akapata kazi kwenye huu alioenda Oral...Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Mbona ghafla mkuu,, umeshindwa kujibu swali nn😂😂Hivi kuna mlamba asali yeyote alieshindwa kujibu swali kweny oral na akapata kazi ?
Haha kuuliza si ujingaMbona ghafla mkuu,, umeshindwa kujibu swali nn😂😂
So unataka justifications za wadau zikumwagilie moyo😂
Kuna mmoja aliwahi toa ushuhyda humu alijibu swali 1 haelewi anachojibu sijui ndoige ile lkn pdf akawemo nishawahi soma ushuhuda huo...Mbona ghafla mkuu,, umeshindwa kujibu swali nn[emoji23][emoji23]
So unataka justifications za wadau zikumwagilie moyo[emoji23]
Hamna Quiz huko?[emoji4][emoji4]Bado nipo kwenye gwaride kwanza mkuu, tukiiva kwa siku 5 ndio tutajua wapi tutaelekea kwa ajili ya mapambano
Wazee wa Skip,I don't understand mbona wapo wengi tu,ule mzigo ni Bahati tu,nadhani ma HR's wapo humu ndani,Kuna vitu vyao huwa wanaviangalia kwenye Usaili....Hivi kuna mlamba asali yeyote alieshindwa kujibu swali kweny oral na akapata kazi ?
Hakika wakati wa Mungu ndio sahihi Maishani mwetu. Sisi kama binadamu tuna mipango na matamanio yetu lakini Mungu muweza yote ana mipango bora zaidi na anatamani tufikie level nzuri zaidi.Ukifika Oral kwanza wale PSRS hukupongeza,mengine yanayofuatia Hapo ni Bahati tu kwa kweli.Kuna watu wengine huwa wanatoka kwenye chumba wanalia baada ya oral,lakini mwisho wa siku unakuta kwenye PDF yumo.Haya mambo ni Bahati tu,na kama Mungu kasema iwe yako unakuwa yako tu.
Jamaa alifanya saili 7 NOT SELECTED to NULL
Usaili wa nane Ikawa SELECTED to NuLL na ndio akapata kazi kwenye huu alioenda Oral...Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Mfano mzuri mkuu, chek kwenye written unafikir wanaofaulu ni kuwa wako vzr kuliko waliofeli, hii sio kweli kwahiyo kila hatua ina neema yake na inatusogeza mahala tulipopangiwa tufike, ni suala la muda tu..Hakika wakati wa Mungu ndio sahihi Maishani mwetu. Sisi kama binadamu tuna mipango na matamanio yetu lakini Mungu muweza yote ana mipango bora zaidi na anatamani tufikie level nzuri zaidi.
Mkuu mazaga one hapa Sasa tuje kwenye vipengele vingine tukiacha maswali.. hv kwa sisi vijna suruali zetu inabidi tuvaaje tukichomekea.. yaan bagi kidogo(kwa juu)😁Wazee wa Skip,I don't understand mbona wapo wengi tu,ule mzigo ni Bahati tu,nadhani ma HR's wapo humu ndani,Kuna vitu vyao huwa wanaviangalia kwenye Usaili....
Yeah mashuhuda hawa
Ushawahi kuskip mkuu..?Wazee wa Skip,I don't understand mbona wapo wengi tu,ule mzigo ni Bahati tu,nadhani ma HR's wapo humu ndani,Kuna vitu vyao huwa wanaviangalia kwenye Usaili....