Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ilikuwa interview yangu ya kwanza kbs, ilikuwa na practical na niliwajibu kadri navyoweza ila tulikuwa wengi watu 48 kwa nafasi16[emoji3][emoji3][emoji3] ratio yao kbs,
Naamini kama SELF Microfinance haukupata tambua kua Kuna nafasi yako nzuri inakuja. Remember Nothing is impossible under the sun that's why the word itself say I'm-possible. May Almighty God grant us success, grace and blessing. 2023.
 
Vp mkuu, uliwakanda vizuri kwenye written na Oral maana kama uhakika ulipitiliza
Ukifika Oral kwanza wale PSRS hukupongeza,mengine yanayofuatia Hapo ni Bahati tu kwa kweli.Kuna watu wengine huwa wanatoka kwenye chumba wanalia baada ya oral,lakini mwisho wa siku unakuta kwenye PDF yumo.Haya mambo ni Bahati tu,na kama Mungu kasema iwe yako unakuwa yako tu.
Jamaa alifanya saili 7 NOT SELECTED to NULL

Usaili wa nane Ikawa SELECTED to NuLL na ndio akapata kazi kwenye huu alioenda Oral...Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
 
Ilikuwa interview yangu ya kwanza kbs, ilikuwa na practical na niliwajibu kadri navyoweza ila tulikuwa wengi watu 48 kwa nafasi16[emoji3][emoji3][emoji3] ratio yao kbs,
Yaaah ratio ya 1:3 sio kitoto mkuu Mungu tu anasaidia unakuta mtu kapita hata mwenyewe hakuwaza.Sema nyie wengi mko database mkuu
 
Ukifika Oral kwanza wale PSRS hukupongeza,mengine yanayofuatia Hapo ni Bahati tu kwa kweli.Kuna watu wengine huwa wanatoka kwenye chumba wanalia baada ya oral,lakini mwisho wa siku unakuta kwenye PDF yumo.Haya mambo ni Bahati tu,na kama Mungu kasema iwe yako unakuwa yako tu.
Jamaa alifanya saili 7 NOT SELECTED to NULL

Usaili wa nane Ikawa SELECTED to NuLL na ndio akapata kazi kwenye huu alioenda Oral...Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Umeongea kweli mkuu, baada ya oral kifuatacho ni muda ambao Mungu kakuandikia utokee hiyo
 
Ukifika Oral kwanza wale PSRS hukupongeza,mengine yanayofuatia Hapo ni Bahati tu kwa kweli.Kuna watu wengine huwa wanatoka kwenye chumba wanalia baada ya oral,lakini mwisho wa siku unakuta kwenye PDF yumo.Haya mambo ni Bahati tu,na kama Mungu kasema iwe yako unakuwa yako tu.
Jamaa alifanya saili 7 NOT SELECTED to NULL

Usaili wa nane Ikawa SELECTED to NuLL na ndio akapata kazi kwenye huu alioenda Oral...Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Hakika wakati wa Mungu ndio sahihi Maishani mwetu. Sisi kama binadamu tuna mipango na matamanio yetu lakini Mungu muweza yote ana mipango bora zaidi na anatamani tufikie level nzuri zaidi.
 
Mfano mzuri mkuu, chek kwenye written unafikir wanaofaulu ni kuwa wako vzr kuliko waliofeli, hii sio kweli kwahiyo kila hatua ina neema yake na inatusogeza mahala tulipopangiwa tufike, ni suala la muda tu..
 
Wazee wa Skip,I don't understand mbona wapo wengi tu,ule mzigo ni Bahati tu,nadhani ma HR's wapo humu ndani,Kuna vitu vyao huwa wanaviangalia kwenye Usaili....
Mkuu mazaga one hapa Sasa tuje kwenye vipengele vingine tukiacha maswali.. hv kwa sisi vijna suruali zetu inabidi tuvaaje tukichomekea.. yaan bagi kidogo(kwa juu)😁

Kimlege kidogo au kaba kiuno? Nadhan hii ni muhimu sana mkuu. Bila kusahau hizi modo zetu na rangi ya mikanda pia...

Haya weka neno then twende kazi
 
Back
Top Bottom