Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

sahihi kabisa mkuu ,sijui hivi vitu vinakwama wapi ,usaili unaenda chap kwa haraka lakini placement zinachelewa baadhi ya Taasisi hii inaukakasi sana utakuta mtu anahangaika kufanya saili zingine baadae placement inatoka ya mwanzo kabahatika ,result after oral ni muhimu kabisa
Hii changamoto ya kuchelewa placements hata Mimi inanikera tena siku hizi zinachelewa mpaka Shortlisted (yaan kuitwa usaili).

Kuna hizi saili za UDSM zinazoenda kufanyika kuanzia Saturday 28 January, hizi kazi deadline ya Maombi ilikuwa tar 1 August 2022.. just imagine hyo time interval mpaka watu wanakuja kuitwa usaili, yaan wanasahau kabisa.

So kwenye placements wajitahidi tu kutoa mapema.. at least ndani ya siku 30 itapendeza sana.
ILA MATOKEO YA ORAL waendelee tu kutusuprise😜
 
Hii changamoto ya kuchelewa placements hata Mimi inanikera tena siku hizi zinachelewa mpaka Shortlisted (yaan kuitwa usaili)

ILA MATOKEO YA ORAL waendelee tu kutusuprise[emoji12]
amini mkuu mrija wako wa asali unakuja
 
Hii changamoto ya kuchelewa placements hata Mimi inanikera tena siku hizi zinachelewa mpaka Shortlisted (yaan kuitwa usaili)
Kuna hizi saili za UDSM zinazoenda kufanyika kuanzia Saturday 28 January, hizi kazi deadline ya Maombi ilikuwa tar 1 August 2022.. just imagine hyo time interval mpaka watu wanakuja kuitwa usaili, yaan wanasahau kabisa.

So kwenye placements wajitahidi tu kutoa mapema.. at least ndani ya siku 30 itapendeza sana.
ILA MATOKEO YA ORAL waendelee tu kutusuprise😜
Mi nafikir tusiwe wepesi wa kulaumu hivi vitu vinaendana na uchumi wa nchi yetu, sisi ni taifa linaloendelea, kwaio naisi kuna namna inatokea ya kiuchumi wanashindwa kuweka kila kitu kwa wakati, sizani kama uchumi ungekua unaruhusu kuwalipa wafanyakazi mishahara waajiriwa wapya na staiki zao bado wacheleweshe kuwapangia vituo na kuwaita kwenye saili zao.

Nahisi process za ajira zipo kwenye mipango waajiri wangapi na taasis gani ila zinaitaji fungu litoke kukamilisha interview na placement, ni mawazo yangu lakini.
 
Back
Top Bottom