Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,859
- 4,539
Hii changamoto ya kuchelewa placements hata Mimi inanikera tena siku hizi zinachelewa mpaka Shortlisted (yaan kuitwa usaili).sahihi kabisa mkuu ,sijui hivi vitu vinakwama wapi ,usaili unaenda chap kwa haraka lakini placement zinachelewa baadhi ya Taasisi hii inaukakasi sana utakuta mtu anahangaika kufanya saili zingine baadae placement inatoka ya mwanzo kabahatika ,result after oral ni muhimu kabisa
Kuna hizi saili za UDSM zinazoenda kufanyika kuanzia Saturday 28 January, hizi kazi deadline ya Maombi ilikuwa tar 1 August 2022.. just imagine hyo time interval mpaka watu wanakuja kuitwa usaili, yaan wanasahau kabisa.
So kwenye placements wajitahidi tu kutoa mapema.. at least ndani ya siku 30 itapendeza sana.
ILA MATOKEO YA ORAL waendelee tu kutusuprise😜