Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii changamoto ya kuchelewa placements hata Mimi inanikera tena siku hizi zinachelewa mpaka Shortlisted (yaan kuitwa usaili).

Kuna hizi saili za UDSM zinazoenda kufanyika kuanzia Saturday 28 January, hizi kazi deadline ya Maombi ilikuwa tar 1 August 2022.. just imagine hyo time interval mpaka watu wanakuja kuitwa usaili, yaan wanasahau kabisa.

So kwenye placements wajitahidi tu kutoa mapema.. at least ndani ya siku 30 itapendeza sana.
ILA MATOKEO YA ORAL waendelee tu kutusuprise😜
 
amini mkuu mrija wako wa asali unakuja
 
Mi nafikir tusiwe wepesi wa kulaumu hivi vitu vinaendana na uchumi wa nchi yetu, sisi ni taifa linaloendelea, kwaio naisi kuna namna inatokea ya kiuchumi wanashindwa kuweka kila kitu kwa wakati, sizani kama uchumi ungekua unaruhusu kuwalipa wafanyakazi mishahara waajiriwa wapya na staiki zao bado wacheleweshe kuwapangia vituo na kuwaita kwenye saili zao.

Nahisi process za ajira zipo kwenye mipango waajiri wangapi na taasis gani ila zinaitaji fungu litoke kukamilisha interview na placement, ni mawazo yangu lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…