Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huyo mwamba alikuwa muungwana sana.Na atakuwa alifurahi sana.Yaani anasubiri usaili wa oral na placement ikamkuta.Raha sana yaani kuona jina kwenye PDF aiseee...Mungu atusaidie sote kaka.

Tangazo la Tarehe 10/01/2023 zile placement limetolewa.Naona ni dalili ya Kupandishwa placement nyingine Leo..🙏
 
Basi iwe hvyo.. pdf iwatendee haki watu wa November na December
 
Vipi placement leo hakuna huko?!
 
Wakuu nimeitwa kwenye interview Dodoma. ila changamoto cheti changu graduate engineer kimeisha muda wake nimefatilia Erb wamenipa barua mwenye uzoefu hawa PSRS wanakubali hizi barua za Erb?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…