Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ndo vitu Mimi nataka ili tusiendelee kumaliza pesa kwa nauli za Usaili..
Nakumbuka December wakati tupo Ora interview pale Asha Rose Migiro Kuna jamaa alikula kona baada ya kufungua simu akakuta placements na jina lake lipo, kada yao ilikuwa na watu wachache wala hawakuporwa Simu, so walikuwa wanaendelea kutumia huku wakisubiri Interview panel ianze kuwaita mmojammoja, kumbuka hyo ilikuwa ni saili yake aliyofanyia nyuma. Basi akaamua kuwaaga washiriki wenzie pale,, akasema atakuja kesho kuchukuwa barua tu.
So ilikuwa poa sana maana aliwaachia wengine wapambanie riziki offcoz yule jamaa alikuwa wa kwanza kwenye Matokeo yao ya Written yuko bright sana.

Sasa nadhan ashaanza kazi Kila la kheri na kazi njema huko aliko
Huyo mwamba alikuwa muungwana sana.Na atakuwa alifurahi sana.Yaani anasubiri usaili wa oral na placement ikamkuta.Raha sana yaani kuona jina kwenye PDF aiseee...Mungu atusaidie sote kaka.

Tangazo la Tarehe 10/01/2023 zile placement limetolewa.Naona ni dalili ya Kupandishwa placement nyingine Leo..🙏
 
Basi iwe hvyo.. pdf iwatendee haki watu wa November na December
 
Huyo mwamba alikuwa muungwana sana.Na atakuwa alifurahi sana.Yaani anasubiri usaili wa oral na placement ikamkuta.Raha sana yaani kuona jina kwenye PDF aiseee...Mungu atusaidie sote kaka.
Tangazo la Tarehe 10/01/2023 zile placement limetolewa.Naona ni dalili ya Kupandishwa placement nyingine Leo..🙏
Vipi placement leo hakuna huko?!
 
Wakuu nimeitwa kwenye interview Dodoma. ila changamoto cheti changu graduate engineer kimeisha muda wake nimefatilia Erb wamenipa barua mwenye uzoefu hawa PSRS wanakubali hizi barua za Erb?
 
Back
Top Bottom