Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna hoja na taarifa zinaletwa humu unabaki tu unajisemea, hiiiiii!

Afike ofisi za psrs aeleze hili watamsaidia, siamini kama hili lilotokea kwa bahati mbaya, I am sorry for this comment.
 
Japo naona jamaa kama huwa wanatuandaa kisaikolojia tu,maana kama yakija haumo au umo unaweza ona kawaida tu ya kuwa mikando inabidi iendelee.
 
Japo naona jamaa kama huwa wanatuandaa kisaikolojia tu,maana kama yakija haumo au umo unaweza ona kawaida tu ya kuwa mikando inabidi iendelee.
Yakija kama haumo, jua kuna jamaa mwingine muda wake umefika, mwingine amepata fursa, kikubwa na cha pekee ni kutokuwa na matumaina makubwa zaid ya kushinda na kuipata nafasi na kupuuzia dhana ya ushindani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…