[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tutaenda wote kumkagua huyu kijana ukiwa kama mwanasheria wa kamati, huyu jana kadiriki kuutushia mrija wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni uamuzi wao tu, tuwaacheKaka hawa ndugu zetu wanapenda sana kujitia stress. Acha ziwauwe hili suala la status kwa mtu mwelewa hata haitaji kutumia nguvu
Hahahahahaaa, kila la kheri mkuuWazima humu? Niko bize bize jaman majukumu yamekuwa mengi sana
Mkuu Naomba kuuliza, Training huwa ni mda wa wiki ngap?Ahsante sana mkuu. Training imeisha imebaki hatima ya vituo jumatatu
Hahaha Da' PGO hata ukitulia, huwezi leta ufafanuzi hapa. Ni kama ulivoahidi mara ya mwisho kuwa, ungepost na picha za "tai" na namna ya "ufungaji" na rangi zinazotakiwa kuvaliwa katika usaili.Kichwa hakiko vizur ndo nmetoka pigwa jua hukoo[emoji28]. Ngoja nitulie kwanza
Wale wa TARI, mmejibiwa, kazi kwenu,.PRSS 1
Basic salary ni 1.1M
Take home itategemea na makato ya muhusika mmoja mmoja (especially % ya mkopo uliopata kutoka Heslb)
I have a friend of mine anafanya kazi huko TARI.
Niko poaaa kabisaBila shaka uko poa kabisa Dada!
Nasisi tujaliwe kupenya, tupate shuhudia haya kama hawa wengine washuhudiavyo. Ameeen.Kaka hawa ndugu zetu wanapenda sana kujitia stress. Acha ziwauwe hili suala la status kwa mtu mwelewa hata haitaji kutumia nguvu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Nooo, nlitaka nitume picha za madam President, former president hivyo walivaa red tie and others. Sasa kutafuta hizo picha usingizi ulivyokuwa umenikaba saa 7 sijui saa 8, sikuweza. Nisamehe[emoji23]Hahaha Da' PGO hata ukitulia, huwezi leta ufafanuzi hapa. Ni kama ulivoahidi mara ya mwisho kuwa, ungepost na picha za "tai" na namna ya "ufungaji" na rangi zinazotakiwa kuvaliwa katika usaili.
Ni hivi hivi uliahidi ungetuma baada ya kutulia, ikawa kutuliiiiiiiiaa. Mpaka leo bado umetulia, huku tunasubiri.
Da' PGO tunakudai picha za rangi ya tai zinazopaswa valiwa katika saili, na namna ya kuzifunga kama ulivyoahidi hapa jukwaani kama utatuma picha zake.Niko poaaa kabisa
Kuna wahuni wamepigaa mlungula wakachoma warehouse tanga, umeskia hii habari kiongozi? πHahaha Da' PGO hata ukitulia, huwezi leta ufafanuzi hapa. Ni kama ulivoahidi mara ya mwisho kuwa, ungepost na picha za "tai" na namna ya "ufungaji" na rangi zinazotakiwa kuvaliwa katika usaili.
Ni hivi hivi uliahidi ungetuma baada ya kutulia, ikawa kutuliiiiiiiiaa. Mpaka leo bado umetulia, huku tunasubiri.
Hii habari ni toka mwaka jana nafikiri, watu wa custom hao na shehena la vitenge,..Kuna wahuni wamepigaa mlungula wakachoma warehouse tanga, umeskia hii habari kiongozi? π
Ipo kwenye mrija wako unaousubiri
Au kuna habari nyingine imeibuka leo mzee wa "tai?"Kuna wahuni wamepigaa mlungula wakachoma warehouse tanga, umeskia hii habari kiongozi? π
Ipo kwenye mrija wako unaousubiri
Eeeh, hili ni swala jipya tena ama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Me sijui kufunga ata tai inabidi nianze jifunza haraka maanaa,Da' PGO tunakudai picha za rangi ya tai zinazopaswa valiwa katika saili, na namna ya kuzifunga kama ulivyoahidi hapa jukwaani kama utatuma picha zake.
Imani uponya, Mungu kamwe hamtupi mja wake. Mungu ni mwingi wa rehema, neema na baraka. Naamini anaona jitihada zetu na anajua mahitaji yetu kwa wakati na muda sahihi. Amen.[emoji120]Mirija ya Asali Mungu atusaidie tuwemo kwenye pdf za placement na tunaosubiri matokeo ya written tuweze kuchaguliwa hatua inayofuata na hatimae kuitwa kazini...Ameen.
Haha daah na jina nkapata mzee wa tai na dada angu nae mtampa sasa Dada wa UshungiAu kuna habari nyingine imeibuka leo mzee wa "tai?"
Ameen. Hapa inafaa tupate na kiongozi wa imani. Hili swala kukabiliana nalo kibinadamu ni zito sana.Imani uponya, Mungu kamwe hamtupi mja wake. Mungu ni mwingi wa rehema, neema na baraka. Naamini anaona jitihada zetu na anajua mahitaji yetu kwa wakati na muda sahihi. Amen.[emoji120]
Huyu dada tnaye humu kitambo, anajuikana kama "Da' PGO".Haha daah na jina nkapata mzee wa tai na dada angu nae mtampa sasa Dada wa Ushungi