Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tutaenda wote kumkagua huyu kijana ukiwa kama mwanasheria wa kamati, huyu jana kadiriki kuutushia mrija wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakikisha una validate machine mara kwa mara
 
Kichwa hakiko vizur ndo nmetoka pigwa jua hukoo[emoji28]. Ngoja nitulie kwanza
Hahaha Da' PGO hata ukitulia, huwezi leta ufafanuzi hapa. Ni kama ulivoahidi mara ya mwisho kuwa, ungepost na picha za "tai" na namna ya "ufungaji" na rangi zinazotakiwa kuvaliwa katika usaili.

Ni hivi hivi uliahidi ungetuma baada ya kutulia, ikawa kutuliiiiiiiiaa. Mpaka leo bado umetulia, huku tunasubiri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Nooo, nlitaka nitume picha za madam President, former president hivyo walivaa red tie and others. Sasa kutafuta hizo picha usingizi ulivyokuwa umenikaba saa 7 sijui saa 8, sikuweza. Nisamehe[emoji23]
 
Hahaha Da' PGO hata ukitulia, huwezi leta ufafanuzi hapa. Ni kama ulivoahidi mara ya mwisho kuwa, ungepost na picha za "tai" na namna ya "ufungaji" na rangi zinazotakiwa kuvaliwa katika usaili.

Ni hivi hivi uliahidi ungetuma baada ya kutulia, ikawa kutuliiiiiiiiaa. Mpaka leo bado umetulia, huku tunasubiri.
Kuna wahuni wamepigaa mlungula wakachoma warehouse tanga, umeskia hii habari kiongozi? 😄
Ipo kwenye mrija wako unaousubiri
 
Da' PGO tunakudai picha za rangi ya tai zinazopaswa valiwa katika saili, na namna ya kuzifunga kama ulivyoahidi hapa jukwaani kama utatuma picha zake.
Eeeh, hili ni swala jipya tena ama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Me sijui kufunga ata tai inabidi nianze jifunza haraka maanaa,
 
Mirija ya Asali Mungu atusaidie tuwemo kwenye pdf za placement na tunaosubiri matokeo ya written tuweze kuchaguliwa hatua inayofuata na hatimae kuitwa kazini...Ameen.
Imani uponya, Mungu kamwe hamtupi mja wake. Mungu ni mwingi wa rehema, neema na baraka. Naamini anaona jitihada zetu na anajua mahitaji yetu kwa wakati na muda sahihi. Amen.[emoji120]
 
Back
Top Bottom