5. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Uhamiaji maswali yake
1. Define
Foreigner, immigration, bonified citizen.
2. Importance of immigration to economy.
3. Regional Africans block that Tanzania is a member.
4. Required documents to travel abroad.
5. Andika wimbo wa taifa
Hilo la wimbo wa Taifa unaweza kulikosa kabisa[emoji3]Uhamiaji maswali yake
1. Define
Foreigner, immigration, bonified citizen.
2. Importance of immigration to economy.
3. Regional Africans block that Tanzania is a member.
4. Required documents to travel abroad.
5. Andika wimbo wa taifa
Hapa mkuu umenichanganya kidogo kwa huo mfano wako na jamaa yako, umekaa kama ulikuwa ni sehem ya panel, hofu yangu tu ni wengine humu kuhisi huyo jamaa yako ni wewe.
Hilo swali kw hakika linataka tu kujitambulisha majina yako, kama yanavyoonekana katika hivyo vyeti. Pili, kwenda moja kwa moja kueleza kuhusu elimu yako, kwa kutaja Institution/school ulisoma/ulisomea miaka uliyosoma hapo, na ulipata award/uli-achieve nini.
Mfano;
Kwa majina naitwa .....
Ningependa kuelezea kuhusu elimu yangu na mafanikio niliyoyapa kama ifuatavyo;
2014 - 2017 nilikua chuo x, nikisomea shahada/stashahada ya uinjinia , na kufanikiwa kupata shahada/stashahada ya uinjinia.
2012 - 2014 nilikua shule ya sekondari flan, nikisoma masomo ya advanced secondary na kufanikiwa kupata Advanced Certificate of secondary education.
2008 - 2011 nilikua shule ya sekondary fulani, nikisoma masomo ya secondary na kufanikiwa kupata Certificate of secondary education.
Nafikiri kuna ma-hr humu wanaweza nirekebisha na kunisahihisha.
200 kwa nafasi 2 mkuu, haliwezekani hilo.Yaaan hapa ningelikwena tulikua tunakutana Oral hakika ila vijana mtakandwa hakika hata 200 wa Oral sidhan kama watafika kati ya 2000+
Mkuu Asante for you Wishes but Leo sikuwa na Usaili wowoteMkuuu pole na shughuli pevu ya leo,ebu mrejesho kilichojiri kwenye oral yako kwa maana maswali n.k
Asante mungu abariki ulichokifanya leo kilete matokeo chanya
Mtihani ulikuwa umeshiba sana. TPDC pale Kuna mapipa ya asali kuingia sio poa poa wali wakomoa. But hopes watavuka hatua inayofuata. Mungu wetu anatupenda sana.KUSOMA VITU IN GENERAL NI VYEMA NILICHOJIFUNZA KATIKS USAHILI HUO WA TPDC , MAANA MASWALI YOTE YAME BASE. WORLDWIDE
Plus hapo ulipo/ unapo volunteer utasema ulianza lini mpaka lini, au to presentEducation background unasema ulisoma wapi olevel na ukamaliza mwaka gani, Alevel na ukamaliza mwaka gani, chuo ukapata degree ya nini na ukamaliza mwaka gani short and clear. Ukija sasa kwenye professional background utasema currently upo wapi/unafanya kazi wapi au una volunteer wapi na duties mbili au tatu unazoweza kufanya kwenye proffesion yako. Na ikiwa tell us about yourself utaanza na Jina lako alafu uta include hvyo vyote. Mimi nilijibu hvyo very short and clear kwenye panel ya psrs na kazi nikapata.
Ndio maana juu kule nilikuuliza na nilikueleza namna panelist wanavyotaka hilo swali namna gani lijibiwe,. Kwa wale waliofika oral HESLB walilileta humu namna walivyoulizwa, na hizo specifics zinazotakiwa, kuna jamaa pia alifanya TRA watu wa computer wale alielezea na hizo specifics alipewa na panelist wakati, kwa mfuatiliaji mzuri humu hilo swala si la kuumiza kichwa sana.Acha kunifikiria vibaya tena sema tu kuwa WEWE NDO UNAFIKIRIA KUWA NI HIVYO ILA SIO HAO WATU UNAOWASEMA. Kwanza nifiche ya nini na nipate nini...?? Hebu nikwambie kitu PSRS - Interview panel ziko na huruma kwa kiasi chake hvyo sometime inawalazimu Wafanye kitu Fulani ili kukusaidia wewe ili ufaulu. Mimi mwenye huwezi amini Kuna swali niliulizwa point ya kwanza nikajibu sahihi then yapili nikaenda wrong kidogo Ila muuliza swali alinisimamisha na kunirekebisha kuwa anataka vitu Fulani then nikafikiria na nikajibu tena kwa usahihi kama alivyotaka, So Kama wangekuwa na roho mbaya basi wasingelifanya.
Lakini pia, kumbuka watu mnaojuana mkitoka mle ndani ni kawaida Kila mtu Kusema kilichomkuta. Niko ready kwa anything that will happen. Kukapa kokosa vyote ni sehemu ya Maisha.
Kwahyo ninachokwambia ni sahihi, jamaa walimsahihihi au walimuongoza hapa baada ya kuona hajamaliza kile walichokuwa wanakita,, jinai Iko wapi hapo..?
Watu wengine bhana unajikuta mna akili saaaaaana....🤔🤔🤔
Hongera sana umenifumbua macho hopes nimepata kitu kipya be blessed kaka, we learnt from mistakes.Education background unasema ulisoma wapi olevel na ukamaliza mwaka gani, Alevel na ukamaliza mwaka gani, chuo ukapata degree ya nini na ukamaliza mwaka gani short and clear. Ukija sasa kwenye professional background utasema currently upo wapi/unafanya kazi wapi au una volunteer wapi na duties mbili au tatu unazoweza kufanya kwenye proffesion yako. Na ikiwa tell us about yourself utaanza na Jina lako alafu uta include hvyo vyote. Mimi nilijibu hvyo very short and clear kwenye panel ya psrs na kazi nikapata.
Sometime wanauliza tell us about yourself, sometime wanauliza explain briefly your education and professional background na pia sometime wanauliza tell us your life history, education and professional background.Ndio maana juu kule nilikuuliza na nilikueleza namna panelist wanavyotaka hilo swali namna gani lijibiwe,. Kwa wale waliofika oral HESLB walilileta humu namna walivyoulizwa, na hizo specifics zinazotakiwa, kuna jamaa pia alifanya TRA watu wa computer wale alielezea na hizo specifics alipewa na panelist wakati, kwa mfuatiliaji mzuri humu hilo swala si la kuumiza kichwa sana.
Anyway, nimejaribu kueleza tu vile hilo swali linavyotakiwa kujibu, sasa kama kufanya hivyo ndo kujionesha kuwa nina akili, sidhani kama ni busara, na msiwe mnaleta maswali yenu humu kutaka ufafanuzi na scenario zenu zisizo eleweka.
Pamoja, na jitahidi usiwe una stuck stuck wewe flow tuHongera sana umenifumbua macho hopes nimepata kitu kipya be blessed kaka, we learnt from mistakes.
Sote ni mafundi wa nyumba, na ili nyumba iwe bora hatuna budi kusaidiana. Tupendane na tuheshimiane ili tuweze kutimiza lengo letu kuu la kupata nafasi ya kuwa watumishi wema wa umma.Ndio maana juu kule nilikuuliza na nilikueleza namna panelist wanavyotaka hilo swali namna gani lijibiwe,. Kwa wale waliofika oral HESLB walilileta humu namna walivyoulizwa, na hizo specifics zinazotakiwa, kuna jamaa pia alifanya TRA watu wa computer wale alielezea na hizo specifics alipewa na panelist wakati, kwa mfuatiliaji mzuri humu hilo swala si la kuumiza kichwa sana.
Anyway, nimejaribu kueleza tu vile hilo swali linavyotakiwa kujibu, sasa kama kufanya hivyo ndo kujionesha kuwa nina akili, sidhani kama ni busara, na msiwe mnaleta maswali yenu humu kutaka ufafanuzi na scenario zenu zisizo eleweka.
Tatizo lugha ya malikia kaka inasalitigi sometimes[emoji16]Pamoja, na jitahidi usiwe una stuck stuck wewe flow tu
Kuna panel ukikutan nao wanakupa specifics za kutembea nazo, anakwambia kabisa katika swali anataka nini, mchanganuo hu-base katika shule, miaka na achievements. Wengine hawataki hata kuuliza sasa unafanya nini au umeajiriwa wapi. Nafikiri itakua inatofautiana na kada.Sometime wanauliza tell us about yourself, sometime wanauliza explain briefly your education and professional background na pia sometime wanauliza tell us your life history, education and professional background.
Niwe tu mkweli, wewe kuweka humu tips za kujibu haya maswali hata sio dhambi hata kama watu wote tuliopo Humu tukifahamu na tukupata kazi Ila bado madogo wengi wanamaliza vyuo na watakuja kunufaika kupitia hayo maelezo ILA ULICHONIBOA ni dhana yako kunifikiria tofauti, Mimi siko hivyo Kiongozi kama niiko na shida am ready to dare anything about that..Ndio maana juu kule nilikuuliza na nilikueleza namna panelist wanavyotaka hilo swali namna gani lijibiwe,. Kwa wale waliofika oral HESLB walilileta humu namna walivyoulizwa, na hizo specifics zinazotakiwa, kuna jamaa pia alifanya TRA watu wa computer wale alielezea na hizo specifics alipewa na panelist wakati, kwa mfuatiliaji mzuri humu hilo swala si la kuumiza kichwa sana.
Anyway, nimejaribu kueleza tu vile hilo swali linavyotakiwa kujibu, sasa kama kufanya hivyo ndo kujionesha kuwa nina akili, sidhani kama ni busara, na msiwe mnaleta maswali yenu humu kutaka ufafanuzi na scenario zenu zisizo eleweka.
Kama umenisoma vema, nimesema hapa kuna panelist akikuuliza hilo anaweka wazi specifics anazozitaka kusikia toka kwako. Hawa jamaa saili zao ni tofauti na za private sector, wanataka vitu short and clear nafikiri ndo maana wanakupa specifics wakati wa kuuliza au wakiona unajieleza sana nje ya yale yanayotakiwa.Sote ni mafundi wa nyumba, na ili nyumba iwe bora hatuna budi kusaidiana. Tupendane na tuheshimiane ili tuweze kutimiza lengo letu kuu la kupata nafasi ya kuwa watumishi wema wa umma.
Ili swali linaweza kuulizwa kwa kupewa specifics au likaachwa hivyo, navyojua likiulizwa Education background tu unaeleza elimu tu primary, secondary, advanced level and University Degree.
TUPENDANE, FURAHA YETU NIKUONA WOTE HUMU TUNAFANIKIWA, MUNGU ATUSAIDIE. AMEN[emoji120].
Toa mfano wa hilo swali li quote as ulivyoulizwa tuoneKuna panel ukikutan nao wanakupa specifics za kutembea nazo, anakwambia kabisa katika swali anataka nini, mchanganuo hu-base katika shule, miaka na achievements. Wengine hawataki hata kuuliza sasa unafanya nini au umeajiriwa wapi. Nafikiri itakua inatofautiana na kada.
Hilo swali la kwanza linahitaji mazoezi binafsi, inasaidia ku-flow vzuri ukikutana nao.Tatizo lugha ya malikia kaka inasalitigi sometimes[emoji16]
Practice mzee ukijua ngeli na una content japo kidogo zile interview unatoboa kwa kugusa tu.Tatizo lugha ya malikia kaka inasalitigi sometimes[emoji16]