Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

You are smaaart 🫵🏼😄
 
Kwa yeyote aliyepiga paper ya Electrical /mechanical engineering utumishi kwa ajili ya recruitment ya TPDC ,naomba atume maswali humu walioweka kwenye hiyo interview ya written Maana humu watu wanatuma maswali ya finance na watu wa humanities Ila Engineering sijawahi ona mtu anashare experience
 
Kuna mwamba ame score 99.0% [emoji3][emoji3]
Watu wapo vizuri asee.
 
Kwakweli tokea nimeanza fanya pepa za utumishi, Kwa mtazamo wangu, pepa ya jana ilikuwa rahisi sanà.

Ngoja tusubirie hekima za wakandaji hawa hapa

Qns: Lab. Scientist II, Aquatic Science and Fisheries-UDSM.

 
Sometime wanauliza tell us about yourself, sometime wanauliza explain briefly your education and professional background na pia sometime wanauliza tell us your life history, education and professional background.
Nakumbuka kuna rafiki angu aliulizwa tell us about ur education background, akaanzia o level, panelist mmojawapo akamuuliza hukusoma primary[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Yaan hawa Psrs.... Mimi naona kila mmoja alivyochangia ni sahihi kutokana na panelist inayomsimamia[emoji3]
 
Alipata kazi?
 
Weka biashara tuone matangazo, wengine wap ita njia twaweza Ona kitu kizuri cha kuchukua/kununua
Kwenye jukwaa la matangazo madogo madogo uwa natangaza huko always. Kuna almost bidhaa zote nmeweka huko na bidhaa mpya zikiingia naweka. Unaweza pita huko utapata kila kitu, contacts, bei etc.

Hapa uwa nasema njoo PM kwa sababu ili ni jukwaa la kitu kingine, na kutovuruga minds za wasaka mrija wa asali[emoji1431]. Karibu
 
kama maswali mengine manne alinyoosha yote , naona hilo swal la kwanza halinaga maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…