La kwanza ni la kutumia akili tu,wala hata halihusiani na CPAYeah but sio hii paper kaka, zile results nimeona ni za kada ya ICT but hii paper ilikuwa jiwe kama sio CPA (T) au mchimbaji zaidi kusanda ni rahisi sana.
Ahsante sana mkuu, nipo pamoja nanyi, tuombeane hadi tufikie ndoto zetu za kuupata mrija wa AsaliAlikata tamaa mapema na kusahu kuwa Mungu bado hajamkatia tamaa yeye. Remember; that step you're afraid to make, might be a game changer. All the best kaka Mwifwa
Kutoboa uwaga haijalish umejianda Kwa muda gan ni vile tu Paper limetoka sehem uliyogusa au sehem ambayo Una idea Kdg cha Muhimu ni kujib maswal yanayoweza kusahihishikaHilo paper kama ujaiva ki CPA utoboi na kwa muktadha wa maswal hayo uwez toboa kwa msuli wa wiki a.k a zimamoto
Mungu awasaidie muweze kutangulia hatua inayofuata ya usaili wa mahojihano. Mungu wetu ni mwenye rehema na anaona juhudi zetu.LEO TAREHE 29.01.2023
WRITTEN INTERVIEW
AGRICULTURE OFFICER GRADE II.
1. Describe the importance of Soil Ph to the crops
2. Explain any five ways of improving soil fertility
3. How vegetation prevent runoff. Describe in detail.
4. a)How levellling is done
b) How plough is done now days
Amina asante sana, kaka Mungu ni mwemaMungu awasaidie muweze kutangulia hatua inayofuata ya usaili wa mahojihano. Mungu wetu ni mwenye rehema na anaona juhudi zetu.
Mkuu, mmemaliza saa ngapi usaili hapo Dom..?LEO TAREHE 29.01.2023
WRITTEN INTERVIEW
AGRICULTURE OFFICER GRADE II.
1. Describe the importance of Soil Ph to the crops
2. Explain any five ways of improving soil fertility
3. How vegetation prevent runoff. Describe in detail.
4. a)How levellling is done
b) How plough is done now days
Saa 11 hiviMkuu, mmemaliza saa ngapi usajili hapo Dom..?
Hongereni mkuu, Mungu yupo pamoja nanyiSaa 11 hivi
Watu walirespond au mlikuwa wachache tuSaa 11 hivi
Amina kaka asante sanaHongereni mkuu, Mungu yupo pamoja nanyi
Sio wengi sana tulipungua maana CIVE ilibakiWatu walirespond au mlikuwa wachache tu
Mtachukuliwa wengi kwenye Oral.. nafasi zenu si haba..Sio wengi sana tulipungua maana CIVE ilibaki
Yeah kaka posibility ni kubwa sana, Mungu atusaidie tuvuke passmark yao tu, na hata maengineer walikuwa wachache sana, niliona madem wawili tu wengine wote men[emoji3][emoji3][emoji3]Mtachuliwa wengi kwenye Oral.. nafasi zenu si haba..
Engeener si wako na TGS E, labda Kama nilisoma vibaya kwenye Lile TangazoYeah kaka posibility ni kubwa sana, Mungu atusaidie tuvuke passmark yao tu, na hata maengineer walikuwa wachache sana, niliona madem wawili tu wengine wote men[emoji3][emoji3][emoji3]
Wachache sana wale naona tgsD wana ikwepa wadau[emoji3][emoji3][emoji3][emoji848]
LEO TAREHE 29.01.2023
WRITTEN INTERVIEW
AGRICULTURE OFFICER GRADE II.
1. Describe the importance of Soil Ph to the crops
2. Explain any five ways of improving soil fertility
3. How vegetation prevent runoff. Describe in detail.
4. a)How levellling is done
b) How plough is done now days
Yeah ni hivyo mkuu, nilichotka kukimaanisha ni kwamba mfumo wa TGS ndio umekimbiza nyomi iwe ndogoEngeener si wako na TGS E, labda Kama nilisoma vibaya kwenye Lile Tangazo
Kabisa kk unajibu angalau za kubangaiza lkn unajibu inatia matumaini kbsMkuu japo mimi sio kada yangu hii ila naona kabisa hii pepa inatia matumaini ya kwenda hatua inayofuata.
Aliyeuuliza kada za Engineering maswali yapo ila pepa zilikuwa technical sana na calculations kimtindo.