Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

me ni civil engineer ila hilo paper hata me nlikua napata ya kujibu haswa hapo kwwnye how levelling is done hahahahahah
 
Kila laheri wakuu, Mimi ishachezea ndoige moja hapa, hebu nisubiri pdf, siyo kwa urahisi wa pepa ya jana afu ndoige round ya kwanza tu.
hata mm nmeziogopa sana hizi paper zinazoonekana ni nyepesi nahisi kabisa zitaleta matokeo ya kikatili sana
 
Samahanini wakuu kwa uzi interference,,,,Nauliza kwa serikali mwisho wa kuwapangia vyuo kwa fom4 ufaulu wa ngapi?
mzeee hapa nenda kwenye jukwaa la elimu huko wakusaidie platforms zipo nyingi humu jf....me nlipata A flat kwwnye combination zangu olevel lkn swali lako limenishinda kabisa limekuwa gumu haswa

sababu ya mambo yanaenda yanabadilika hahahahhahahahah
 
mtihan wetu civil wa irrigation tumekutana na swali la calculation af sikwepo na calculator issue za manning formula for water discharge hakika mwendo leo nmeumaliza daaaaah
 
Foreign Officer post Paper Maswali.

1. Immunity and privileged of diplomats.
2. How Tanzania CAn benefit from South South cooperation.
3. Significance elements of international business and it's limitations.
4. How Tanzania can implement bilateral diplomacy ? Action taken.
 
mzeee hapa nenda kwenye jukwaa la elimu huko wakusaidie platforms zipo nyingi humu jf....me nlipata A flat kwwnye combination zangu olevel lkn swali lako limenishinda kabisa limekuwa gumu haswa

sababu ya mambo yanaenda yanabadilika hahahahhahahahah
Sawa mkuu shukurani nitafika huko
 
mtihan wetu civil wa irrigation tumekutana na swali la calculation af sikwepo na calculator issue za manning formula for water discharge hakika mwendo leo nmeumaliza daaaaah
Usiseme hivyo, wapo wengi waliojikatia tamaa ila wakasahau kuwa Mungu Muweza yote bado hajawakatia tamaa na mwisho wa siku Mungu akawashangaza kwa kufaulu na kuendelea na hatua iliyofuata. Mungu wetu ni mwenye rehema, neema na baraka na anafanya njia pale pasipo na njia.
 
Hapa
nakuunga Mkono kuna Paper nilitoka na Furaha sn lkn matokeo yakaja mkando araf kuna Paper lilikuja hovyo sikujib Swali Moja araf Moyon nikaona PSRS sio pakawaida hawana huruma hata Kdg lkn ndy lilinivusha mpk Leo nasubir PDF tu
 
Mechanical Technician
1. Important of maintenance
2. Cause of engineering system failures.
3.
 
Hapo watakandwa wengi sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…