Calculations hawakuwawekea ?Mechanical Technician
1. Important of maintenance
2. Cause of engineering system failures.
3.
Hope mpo salama, Mapambano yaendelee, Mungu yupo pamoja nanyi
Asante mkuu bilashaka umepangwa kituo leo,kila lakheri katika kituo chako cha kazi ukawe mtumishi mwema,ogopa rushwa mkuuHope mpo salama, Mapambano yaendelee, Mungu yupo pamoja nanyi
Ila wadau.. hizi tunazofanya Huku tunasubiria placements taasisi 1 au 2 mkononi hazina mood kabisa..
Leo nimejikuta Sina mood kabisa yaan nimefanya ili mradi kwa kuwa sipo mbali..
Na nikalimwaga kabisa sijui..
Hapana mkuuHiv c unasubiria placement TRA mzee ?
Mtaalam oral imeendaje leo? Maswali yao yakojeIla wadau.. hizi tunazofanya Huku tunasubiria placements taasisi 1 au 2 mkononi hazina mood kabisa..
Leo nimejikuta Sina mood kabisa yaan nimefanya ili mradi kwa kuwa sipo mbali..
Na nikalimwaga kabisa sijui..
Hahahaa, bado nipo kanda ya Kati.Una report kutokea kanda gani..leo ndo jtatu[emoji3]
Ahsante sana mkuuAsante mkuu bilashaka umepangwa kituo leo,kila lakheri katika kituo chako cha kazi ukawe mtumishi mwema,ogopa rushwa mkuu
Posho mshalamba lakini?Hahahaa, bado nipo kanda ya Kati.
Hatima yetu bado haijajulikana, ila soon mambo yatajulikana
Ukame bado umeshika hatamu, tukipata barua tunaweza kusindikizwa na hivyo vijisentiPosho mshalamba lakini?
Wakuu Sasa Mimi ni mkazi wa mbeya, kesho nategemea kwenda mbeya.Hahahaa, bado nipo kanda ya Kati.
Hatima yetu bado haijajulikana, ila soon mambo yatajulikana
Hongera sana kaka, umepelekwa sehemu nzuri. Kapambane na Utumishi pamoja na maisha kwa ujumla.Wakuu Sasa Mimi ni mkazi wa mbeya, kesho nategemea kwenda mbeya.
Wenyeji wanitafutie chumba tu[emoji23]
Amina, hakika acha tukatumikie nchiHongera sana kaka, umepelekwa sehemu nzuri. Kapambane na Utumishi pamoja na maisha kwa ujumla.
Uko kada gani mkuu?Wakuu Sasa Mimi ni mkazi wa mbeya, kesho nategemea kwenda mbeya.
Wenyeji wanitafutie chumba tu😂
Tutorial AssistantUko kada gani mkuu?
Hongera mzeeTutorial Assistant
Wewe unaona maswali magumu kwakua hauko huku, sawasawa na mimi nione swali lolote la engineering lazma nione gumu sana maana siyo fani yanguKwani wanaofeli huwa hawaletewi maswali ya fani zao?
Hivj tangu ulipoitwa ulikuwa Makao makuu?Tutorial Assistant
Mkuu umepelekwa kuzuri sana sana kwasababu niliwahi kuishi naamini your self development including building, cars, etc itahappen kwani hata cost of living ya huko ni ndogo, na public servant ndio wanaenjoy sana mbeya.Amina, hakika acha tukatumikie nchi