Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ila wadau.. hizi tunazofanya Huku tunasubiria placements taasisi 1 au 2 mkononi hazina mood kabisa..
Leo nimejikuta Sina mood kabisa yaan nimefanya ili mradi kwa kuwa sipo mbali..
Na nikalimwaga kabisa sijui..
 
Amina, hakika acha tukatumikie nchi
Mkuu umepelekwa kuzuri sana sana kwasababu niliwahi kuishi naamini your self development including building, cars, etc itahappen kwani hata cost of living ya huko ni ndogo, na public servant ndio wanaenjoy sana mbeya.

Kila la kheri mkuu, we are on the way to come. Usitutupe tu humu JF.
 
Back
Top Bottom