Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ila wadau.. hizi tunazofanya Huku tunasubiria placements taasisi 1 au 2 mkononi hazina mood kabisa..
Leo nimejikuta Sina mood kabisa yaan nimefanya ili mradi kwa kuwa sipo mbali..
Na nikalimwaga kabisa sijui..
Tupe mrejesho kilichojiri leo
Kwanza hongera kwa kuattend siku ya leo na kuongeza idadi ya placement za kusubiria
 
Tupe mrejesho kilichojiri leo
Kwanza hongera kwa kuattend siku ya leo na kuongeza idadi ya placement za kusubiria
Oooh idadi ya placement za kusubiri nimeongeza.. but jamaa wametuambia ndani ya wiki 2 mzigo utatema,, so nataka nione uongo wao safari hii.
But hakuna mpya ni maswali yaleyale ya kumention point 5 yaan mpaka yanakera but si haba naiona 60% ya kukaa database kabisa.
 
Hongera mkuu. Kada gani ?
Oooh idadi ya placement za kusubiri nimekngeza.. but jamaa wametuambia ndani ya wiki 2 mzigo utatema,, so nataka nione uongo wao safari hii

Oooh idadi ya placement za kusubiri nimekngeza.. but jamaa wametuambia ndani ya wiki 2 mzigo utatema,, so nataka nione uongo wao safari hii
Usahili c umeenda poa lakini
 
Amina mkuu, tupo pamoja
 
Hongera sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…