Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Tupe mrejesho kilichojiri leoIla wadau.. hizi tunazofanya Huku tunasubiria placements taasisi 1 au 2 mkononi hazina mood kabisa..
Leo nimejikuta Sina mood kabisa yaan nimefanya ili mradi kwa kuwa sipo mbali..
Na nikalimwaga kabisa sijui..
Kwanza hongera kwa kuattend siku ya leo na kuongeza idadi ya placement za kusubiria