Boss naona kichovu sana....Kwema humu ndugu zangu?
Tokeo lenu la NIRC naona bado au sioYeah me nikiingia labda kucheki namba ya usaili nikiwa nina written, hizi status hamna issue hizi...unless tuje tuzielewe baadae
Bado mkuu mpk sasa holaa..!!! Tupo dom tu daah gharama za kuishi sio poa kkTokeo lenu la NIRC naona bado au sio
Bado kaka kuitwa boss 😂Boss naona kichovu
Kaka nimeona nisahau kabisa,nione kama sikufanya usaili hivi.Maana bila hivyo naweza pata kihoro tu.mazaga one umekuwa adimu sana humu unakuja kwa kuibia sana.. naona PSRS washakuchosha Sasa hawataki kutoa mzigo wako😁
Habari za pande hizo mtumishiKwema humu ndugu zangu?
Utakuwa umepita mkuu,, au sio..Agriculture officer wa NIRC ingieni kwenye account zenu kuna jambo
Oral imepita mkuu,, kikubwa tumeambiwa majibu baada ya wiki yatatolewa utumishi, hapa Tunaendelea na Maisha kana kwamba hatuna tu tunachosikizia maana ahadi za PSRS sio za kuzilalia mlango wazi😁😁Kumepoa sana humu ndani vijana mko wapi!!! Kumepoa sana au mnajiandaa na usaili.
Mkuu ulifanya oral yankule...ilikuaje maswali!??
Poa kaka, vipi pande hizo?Habari za pande hizo mtumishi
Nashukuru mkuu nimepita, naommba hints za oral sasaUtakuwa umepita mkuu,, au sio..
Washaanza kupandisha mizigo sioAgriculture officer wa NIRC ingieni kwenye account zenu kuna jambo
Hongera sana mkuuNashukuru mkuu nimepita, naommba hints za oral sasa
Salama kabisa, kipenga kishalia huku, tunaanza kukimbizana na madude sasaPoa kaka, vipi pande hizo?
Yeah ishaanza ukoWashaanza kupandisha mizigo sio
Asante sana ndugu yanguHongera sana mkuu
Mungu akutangulie katika kutekeleza majukumu yako.Salama kabisa, kipenga kishalia huku, tunaanza kukimbizana na madude sasa
Kwenye akaunti naona tayari unaweza log inn ukaonaBado mkuu mpk sasa holaa..!!! Tupo dom tu daah gharama za kuishi sio poa kk