Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

mazaga one umekuwa adimu sana humu unakuja kwa kuibia sana.. naona PSRS washakuchosha Sasa hawataki kutoa mzigo wako😁
Kaka nimeona nisahau kabisa,nione kama sikufanya usaili hivi.Maana bila hivyo naweza pata kihoro tu.

Tokea November mpaka Sasa mzigo hamna.Nishasuburi sana. Nimeshajiandaa kwa lolote Sasa...🙏
 
Kumepoa sana humu ndani vijana mko wapi!!! Kumepoa sana au mnajiandaa na usaili.
Mkuu ulifanya oral yankule...ilikuaje maswali!??
Oral imepita mkuu,, kikubwa tumeambiwa majibu baada ya wiki yatatolewa utumishi, hapa Tunaendelea na Maisha kana kwamba hatuna tu tunachosikizia maana ahadi za PSRS sio za kuzilalia mlango wazi😁😁
 
Back
Top Bottom