Mwanakatwe2020
Member
- Sep 23, 2022
- 28
- 63
Wale mnaosubiria matokeo ya MDAs na LGAs nawashauri tuendelee na majukumu mengine kwa sasa, hilo la PSRS tuliweke kando. hahahahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii imekajeeWale mnaosubiria matokeo ya MDAs na LGAs nawashauri tuendelee na majukumu mengine kwa sasa, hilo la PSRS tuliweke kando. hahahahahaha
Yaani sio poa kwakwelWale mnaosubiria matokeo ya MDAs na LGAs nawashauri tuendelee na majukumu mengine kwa sasa, hilo la PSRS tuliweke kando. hahahahahaha
Asante sana, tunashukuru sanasanaHongereni sana wote mliofika Oral, ni hatua muhimu sana(Golden chance), Mkapambane kwa juhudi zote, Mungu yupo pamoja nanyi
Amen, asante sana kaka, hakika Mungu ni mwema tunaendelea for the next stageAgricultural Officer grade 2 naona watu walikamia show 99% Hongera zenu wote mmeochaguliwa kuendelea na hatua ya usaili wa mahojihano. Mwenyezi Mungu awatangulie, mjiamini, ujasiri, smartness. Furaha yetu ni kuona watu wote tunaowafahamu, wanaotuzunguka na walio karibu yetu wanafanikiwa.[emoji120]
Haya ushakuwa mzoefu kiasi hata hofu kwasasa haitokuwa juu.. Nenda kapambane kwa mara nyingine.. ukiweza maswali manne kati ya matano sio Mbaya Green light itakuwakiaAsante sana, tunashukuru sanasana
Shukurani mkuu, mapambano yaendelee...Haya ushakuwa mzoefu kiasi hata hofu kwasasa haitokuwa juu.. Nenda kapambane kwa mara nyingine.. ukiweza maswali manne kati ya matano sio Mbaya Green light itakuwakia
Nawe upo humu kwenye mkando..?Nawaona wazee wa finance management ,wamekandwa kisawa sawa.
Nimecheck inaonesha pepa ilikaza sana.. hata hizo 51, 50,50,50 zinaweza kuwa standardizationNawaona wazee wa finance management ,wamekandwa kisawa sawa.
Yaaan dahWale mnaosubiria matokeo ya MDAs na LGAs nawashauri tuendelee na majukumu mengine kwa sasa, hilo la PSRS tuliweke kando. hahahahahaha
Unatuchora bana hah hahaBora nlibet mapema nkapanda mipango yangu mingine, tutaboa tu ata kwa shughuli nyingine ili mradi ni halali, siku utumishi wakiamua kutubless tutamshukuru Mungu[emoji1]
Placement ndo kabisaaa, mpaka 2025 labda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wale mnaosubiria matokeo ya MDAs na LGAs nawashauri tuendelee na majukumu mengine kwa sasa, hilo la PSRS tuliweke kando. hahahahahaha
😂😂Placement ndo kabisaaa, mpaka 2025 labda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]mungu n mwema pengine watafanya jambo thic febPlacement ndo kabisaaa, mpaka 2025 labda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuuh hv ferbuary ishaingia tayari[emoji23][emoji23][emoji23]mungu n mwema pengine watafanya jambo thic feb
kitambo kabisa mkuuDuuuh hv ferbuary ishaingia tayari
Kwa taarifa za chini chini....Placement ndo kabisaaa, mpaka 2025 labda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa taarifa za chini chini....