Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Agricultural Officer grade 2 naona watu walikamia show 99% Hongera zenu wote mmeochaguliwa kuendelea na hatua ya usaili wa mahojihano. Mwenyezi Mungu awatangulie, mjiamini, ujasiri, smartness. Furaha yetu ni kuona watu wote tunaowafahamu, wanaotuzunguka na walio karibu yetu wanafanikiwa.[emoji120]
Amen, asante sana kaka, hakika Mungu ni mwema tunaendelea for the next stage
 
Back
Top Bottom