Bora nlibet mapema nkapanda mipango yangu mingine, tutaboa tu ata kwa shughuli nyingine ili mradi ni halali, siku utumishi wakiamua kutubless tutamshukuru Mungu[emoji1]Wanasheria waliokua wanategemea placements kutoka hasa waliofanya interview October 2022 hicho kitu kwasasa ondoeni kwenye akili zenu... Habari za Ndani hakuna placement tena
Kada gani iliyo tayari?Kwenye akaunti naona tayari unaweza log inn ukaona
Transport Officer IIKada gani iliyo tayari?
Na Oral iko lini?Transport Officer II
Kesho 0700hrs amNa Oral iko lini?
Hapo kwel ndy wanapokosea sn?? Kifup watt wa Maskini ndy tunaumia Nauli yenyew ya kwenda kweny Usaili mpk umpigie Kaka, Dada, mjomba na ndg kibao ndy upate Nauli Leo utoe Usiku araf mtu kesho anafanya Mmmmmmmmmmh Tutasubir snOral Kesho matokeo wanatoa usiku huu?? Hawa ni wapumbavu, kwahiyo walitaka watu waendelee kukaa Dodoma bila Pesa??
Yeah tayari mkuu, shukuraniKwenye akaunti naona tayari unaweza log inn ukaona
Naona kunazidi kukucha, PDF ZA MATOKEO TUNAPATAJE AISEH
Agricultural Officer grade 2 naona watu walikamia show 99% Hongera zenu wote mmeochaguliwa kuendelea na hatua ya usaili wa mahojihano. Mwenyezi Mungu awatangulie, mjiamini, ujasiri, smartness. Furaha yetu ni kuona watu wote tunaowafahamu, wanaotuzunguka na walio karibu yetu wanafanikiwa.[emoji120]Naona kunazidi kukucha, PDF ZA MATOKEO TUNAPATAJE AISEH
All the best kaka, kapambanie kombe, Mungu akutangulie [emoji120]Mungu ni mwema wadau CPB pia wametoa ngoja tukapambane tena hapo Asha Rose Migiro.
Asante sana mkuu.All the best kaka, kapambanie kombe, Mungu akutangulie [emoji120]
Ahsante sana mkuu kwa maombiMungu akutangulie katika kutekeleza majukumu yako.
Plan B ni muhimu sana, hongera kwa kujiongeza mapema.Bora nlibet mapema nkapanda mipango yangu mingine, tutaboa tu ata kwa shughuli nyingine ili mradi ni halali, siku utumishi wakiamua kutubless tutamshukuru Mungu[emoji1]