Mwanakatwe2020
Member
- Sep 23, 2022
- 28
- 63
Kaz Ipo Sema walioenda Oral naona wataenjoy snNawaona wazee wa finance management ,wamekandwa kisawa sawa.
Watainjoi kwa lipi wakati nafasi wanazoshindania ni mbili tu, 1:4Kaz Ipo Sema walioenda Oral naona wataenjoy sn
Mkuu,wewe hukupiga hiyo?Watainjoi kwa lipi wakati nafasi wanazoshindania ni mbili tu, 1:4
Wasaka tonge wapo 7 Mtihan wao wa Oral nahis 70% itakuwa ni General Questions tu Mambo ya Duties and Responsibilities pmj na Function sijui Importance Yana Asilimia kubwa sn kutoka kweny Paper Lao. Arafu nafas zinaweza kuwa 2 lkn wakachukua 5+Watainjoi kwa lipi wakati nafasi wanazoshindania ni mbili tu, 1:4
Katupie humuKuna kaPDF kamchongo Mliofanya trh 12 September had November 20 kapiteni uwenda Nyakati yenu imefika
Kweli ka mchongo.Kuna kaPDF kamchongo Mliofanya trh 12 September had November 20 kapiteni uwenda Nyakati yenu imefika
Nov 7***Kuna kaPDF kamchongo Mliofanya trh 12 September had November 20 kapiteni uwenda Nyakati yenu imefika
Katupie humu
Ndio asili ya mwanadamu kutafuta kilicho bora kwakeYn mtu anapat kazi taasisi A haridhiki anaenda kufny usaili tena anapata B hardhiki anaenda tena anapata C wengne wansbria tu mpk jamaa aridhike kweli dunia haiko fair kbsa
Utaratibu mbovu hii nchi yetu wote wawape watu wasiopata kbsaNdio asili ya mwanadamu kutafuta kilicho bora kwake
Hapa PSRS km ingewapendea wangejitahid sn kwny kumbukumbu zao mtu akipata Placement Acc yake Ibadilike na kusiwe na Option tena ya Kuapply kaz yoyote mpk Kwa muda Flan ndy aweze kuapply ili kupunguza nafas anazoacha Wazi baada ya kupata Multiple PlacementsYn mtu anapat kazi taasisi A haridhiki anaenda kufny usaili tena anapata B hardhiki anaenda tena anapata C wengne wansbria tu mpk jamaa aridhike kweli dunia haiko fair kbsa