Black255
Senior Member
- Feb 19, 2015
- 181
- 370
Nna wajua intern wengi TRA sijui kwa kadi nyingine ila kwa kada yangu lazima uingie kwenye interview PSRS hakuna mkatoKama ulikua hujui, note hilo. Hata TRA kuna wakati wanachukuaga intern wao pale wanapopewa kibali cha ajira. Nafasi zitatangazwa zote ila baadhi ya watu hawatapangiwa kazi na psrs, bali TRA.