Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hivi kwanini matangazo ya kazi za halimashauri hizi za serikali ya mitaa uwa zinapostiwa kikawaida yani mtu anascan kwa kutumia cm scanner anaitupia kwenye Web ya utumishi tofauti na sehemu zingine inakua coloured pdf imeandaliwa kwa kutulia kabisa?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kule Katani hakuna mashine za kuscan, hata printing yenyewe inafanyikia stationery.

NAWAZA KWA HERUFI KUBWA
 
Back
Top Bottom