Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Written kuchukua mda mrefu, inategemea na siku ya oral ni lini . Mana Majibu ya written huwa yanatoka siku Moja kabla ya Oral.
Kwan oral kweny ratiba inaonesha ni tarehe ngap?
Uwe unafuatilia kwa makini ili ujue kinachojadiliwa kimeanzia wapi.

Tunachokijadili ni kutokana na mdau juu huko kushangazwa/kustaajabishwa nini kinapelekea mpaka kufika siku 20 majibu ya written MDA's&LGA's kutokutoka.
 
Written kuchukua mda mrefu, inategemea na siku ya oral ni lini . Mana Majibu ya written huwa yanatoka siku Moja kabla ya Oral.
Kwan oral kweny ratiba inaonesha ni tarehe ngap?
wewe unakariri, Ivi kweli kama kulikua na ratiba ya oral angeuliza ? na kwani kila writen lazima waseme oral ni lini. kama ndivyo kwa nini aseme 20dyz zimepita bila majibu na akati ratiba ya oral ipo,,,,,,
 
Back
Top Bottom