kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Uliza swali kama msomi,sasa source documents kwenye kada ipi?Hivi kwenye oral ukiulizwa mention source document,utajibuje hili swali wandugu? msaada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliza swali kama msomi,sasa source documents kwenye kada ipi?Hivi kwenye oral ukiulizwa mention source document,utajibuje hili swali wandugu? msaada
MSHIKAJI unaonekana una Hasira sana.. sijawahi ona comment yako yoyote in Normal conditions..Uliza swali kama msomi,sasa source documents kwenye kada ipi?
Hahahaha huyo mshkaji mtata sana....M
MSHIKAJI unaonekana una Hasira sana.. sijawahi ona comment yako yoyote in Normal conditions..
Ni kufoka au kubisha.. Big up sana 😁
Naona wanasystem inyogenerate number randomly maana kweny pdf unawez kua namba 1 lkn namba ukawa 20Ivi wakuu mna idea yoyote khs numbering wanafuata utaratibu gani?!
Pdf inakua alphabetical. Ila number sio mfano (real) A anakua 017 E anakua 015 na M anapewa 002?
ASANTE MKUUPermanent Secretary a.k.a katibu mkuu wa wizara ya afya
Nashukuru kwa kuendelea kunifuatilia.M
MSHIKAJI unaonekana una Hasira sana.. sijawahi ona comment yako yoyote in Normal conditions..
Ni kufoka au kubisha.. Big up sana 😁
Mkuu uko deep na hao jamaa,naamini na wewe ni miongoni mwa wasahihishaji.Usikate tamaa, endelea kujifua kwa Oral, sidhani kama watawapa siku zaidi ya tatu kujiandaa kwa oral toka tarehe ya kupandisha matokeo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Soo poaWandugu masaula ya Utumishi ni balaa.Yaani miezi mitatu hujui hatma yako.
Mkuu lini una oral ya Agric. Officer?Wandugu tupieni nondo za namna nzuri ya kujibu oral tukaikabili vizuri siku za usoni...
Tar 5 mkuuMkuu lini una oral ya Agric. Officer?
Kila laheri mkuu.Tar 5 mkuu
Shukuran sana kkKila laheri mkuu.
Huyu mchizi ndo zake sijui anastress ganiM
MSHIKAJI unaonekana una Hasira sana.. sijawahi ona comment yako yoyote in Normal conditions..
Ni kufoka au kubisha.. Big up sana 😁
Hapo zipo invoices, payments voucher, ReceiptsMean source documents in accounting.....
Qn: Mention source documents in accounting, swali kama hli unajibuje kwnye oral interview wandug
NimekustahiHuyu mchizi ndo zake sijui anastress gani