Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari ya jioni Wana jf,

Hongereni Kwa wote mliolamba asali, BINAFSI sijabahatika.

Nilikuwa nasubiria placement HESLB nafasi ya Loan Officer.

Kwa mnaosubiri placement Pdf ndio kila ktu, stutus si za uhakika/ kutegemea.

Stutus kwenye website ni SELLECTED FOR Oral ya kijani na kwenye app ni SELLECTED FOR null.
 
Pole mkuu usife moyo

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ili swala mbona lishaelezwa sana humu, na nini maana yake.
 
Pole Mkuu, ila umetupa mrejesho mzuri. Tumejua kuwa status za kwenye app hazina effect, PDF ndo Kila kitu
 
Pole sana mkuu usikate tamaa sio ww pekee uliokosa
 
Blessed kk
 
Tumepokea ila Placement zinaendelea kufanyika. Tembelea www.ajira.go.tz kuona zaidi
Kweli mambo ni mazuri Hakika.February tumeshaona placements Mbili Hadi Sasa.Naimani nyingine nyingi Mwezi huu tutashuhudia.Naimani hata nyie wenyewe mmejionea Furaha ya Vijana Leo baada ya hizi placements.Hakika Wale wa TAEC,OUT,RUWASA,TARI na vijana wengine wa November,December wanawasubiri kwa hamu pale kwenye sehemu ya Placement..
Msione lakini vijana wanaulizia sana.Mtaani watu wana stress za kukosa kazi.Wanapofanya Usaili na kusema Kuna mchongo wanasikilizia ndio kupitia PSRS.
 
Hilo lilishasemwa mbona humu ndani.Status hazina umuhimu wowote na haziamui chochote kwenye PDF.Status ni Reference ya mtu kwenda Hatua ya pili au kutokwenda Hatua ya Pili.Hizo hazina Umuhimu wowote.PDF la Placement ndio Kila kitu.
Kama Leo
Sekretarieti ya Ajira walivyosema tutegemee placement,basi mambo mazuri yanakuja.
 
Pole sana kaka.Lakini usisite kuangalia PDF nyinginezo zijazo za Placement kwa maana kama mwaka haujaisha basi lolote linaweza kutokea.Mungu ni mwema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…