Sekretarieti ya Ajira
Member
- Nov 15, 2022
- 25
- 142
Tumepokea ila Placement zinaendelea kufanyika. Tembelea www.ajira.go.tz kuona zaidiMwezi Wa 12 mwaka 2022 walitoa placement mfululizo ila Sasa placement za manati.
Watu wamefanya usaili November, December hadi Sasa hawajui hatma zao.
Sekretarieti ya Ajira Tunaomba muweke placement hizo basi.Tumesubiri sana