Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Vijana Tuoe.Ni kweli Zinaa inaleta matatizo sana.Kiuchumi nk ...Hasa hasa Hawa dada zetu wa kizazi Cha Sasa,Usaliti mwingi sana,Leo analala na Huyu Kesho na yule,ilhali wewe ndio mchumba wake,akija kwako analala na wewe Tena,Sasa huko alikotoka hujui kaondoka na Nini,Magundu huwa yanatengenezwa hivyo.Wadada Wasomi tulieni muwapendeni wachumba zenu,msifanye Usaliti,mnawasababishia matatizo wanaume zenu kupitia Ngono.
 
Usimuamini kila mtu anachokwambia ni kweli. Je kama anafahamiana nae atasema mm nimepata coz nafahamiana na mkubwa flani?
Kila mtu hafahamiani na mtu ndomana tunasema kila aliepata kazi ukweli anaujua yeye,mungu wake na muajiri wake. Hizi taasisi kubwa zina urasimu mkubwa sanaa kuliko tunavyofikiria. Wapo wanaopata kihalali bila connection na wapo wanaopata kwa connection.
 
Katika kitu kigumu Utumishi ni kubebwa written,hata uwe unafahamiana na nani,pambana Written kwenda Oral.Watu wengi wanaojitolea kwenye Taasisi za serikali wamekosa kazi hata kama Taasisi Yao ilitanganza,hii ni kutokana na kufeli Written,Ukienda Oral angalau utakutana na wafanyakazi wa hiyo Taasisi yako,Hapo uungwana na Fair inakuwepo kidogo.


Kikubwa Soma Soma na muombe sana Mungu ufaulu Written.
 
Ni imani yako tu mkuu, usitetereke kwa kile unachokiamini,

Believe unatoboa hata akileta sijui gundu it won't. prosper in jesus Almighty name amen

Uwe na usikumwema.
 
yote ni majibu but cha msingi simama wewe kama wewe pambana muombe mungu ,binafsi nawajua watu wengi wamepata kazi bila connection 100% kama wakat ni wako hata bila connection unapata na unaweza kuwa na connection pia kama mungu hajaibariki nafasi kuwa yko lolote linaweza tokea
 
sahili zenye practicals ndio kuna kubebana sana, wanaosaili usaili wa vitendo ni watu wa taasisi husika, pale kama mtu anamjua msailiwa anampa tu maksi mingi na kumbeba.
kwenye written naamin ndo hakuna kubebana ila practicals na oral baadhi ya taasisi zina beba watu wao .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza kila kitu.Na kazi anayokupa Mungu ndio inakuwa na Furaha sana na amani,na utaifanya kwa Bidii na ufanisi Mkubwa....
Tuwe na subira kusubiri Kusudi la Mungu.
 
Imenitia nguvu sana hii.
 
Ushawahi kufanya practical mkuu?
 
Habari wana jukwaa. Poleni kwa wale muliokosa nafasi za ajira. Kumbukeni, wakati wa MwenyeziMungu ni wakati sahihi na hujui ni shari ipi umeepushiwa nayo na wala hufahamu ni kheri ipi umeandaliwa baada ya kukosa nafasi hiyo ya kazi uliokosa.

Vilevile , kongole kwa wale muliopata ajira zenu za halali. Mkawe watumishi wema mliojaa uzalendo, watumikie watu kama ambavyo wewe ungependelea kutumikiwa, musiwe miungu watu kutaka kunyenyekewa pasi na sababu za msingi, hongereni sana. Mola awape kheri huko muendako.

Mbali na hayo, kama unahofu ya identity yako kua revealed ukituma maoni kwenda utumishi kwa njia ya email, Ig au Fb. Basi ni vyema tuutumie uzi huu waliouanzisha wao wenyewe (link ipo chini, paragraph inayofuata) pale inapotakiwa kutoa maoni juu ya uendeshaji na utendaji wa shughuli za Sekretarieti ya Ajira. Ni rahisi kwao kuusoma na naimani watafanyia kazi maoni hayo.


Tukumbuke yakua, Kukata tamaa ni mwiko. Wish you all the best.
 
Huo ndio ukweriii
 
Sasa hiyo itakuwa connection gan ,kama hukupewa pepa , Sema tukubali TU, connection zipo, Sema zinafanyika kwa usiri mkubwa sana ,
 
Ndugu zangu nimeona Marekani kupitia ubarozini ukurasa wa facebook wametoa fursa kwa waalim wa kiswahili pitieni kwenye page yao ya facebook kuna link mjaribu bahati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…