Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Quote comment yangu ninayolilia placement hapa.
Tuna takiwa kujua kwamba huu uzi upo kwa maslahi ya watu zaidi ya 1000+, comment za watu wachache au ushiriki wa watu wale wale kila mala haimaanishi kuwa yy ndio muhanga wa kusubiri placement la hasha ,ila ni njia pia ya kusaidia wengine wasio shiriki, isionekane kuwa baadhi ya watu ndio wenye shida sana na placement kuna watu tupo humu na tuna comment vile vile na hatusubiri placement ni vile tuu tunajaribu kuwatia wenzetu mioyo coz na cc tumeyapitia haya japo sio kwa uzi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…