Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Umeeleweka
 
Post ambazo hazimalizi week ni kama zipi..?
 
ORAL INTERVIEW AGRICULTURAL OFFICER GRADE-2 Tarehe 05.02.2023. NIRC under Ministry of Agriculture.


1. Tell us about yourself includiing education background and experience if you have.
2. Benefit of seed treatment
3.Effect of weed competition on the crop growth

4. Factor to consider on the irrigation method
5. Function of farm tools.
 
Hizi ngoma hazina formula maalum, tusubiri tu mikeka hiyo, humu kila mmoja anajalibu kuja na assumption zake.
November mwishoni washatimua Maofisa 7 kuna nafasi zimeongezeka na zinahitaji watu haraka 😅
Mtambaswala wanataka watu huko walikimbia kipindi cha mtikiso wa msumbiji
Kabanga wana uhabaa huko
Rusumo walitimua maofisa walikuwa wanaruhusu magendo usiku
Jiandaeni mwezi huu hammalizi kiongozi 😃
 
Vp lkn mkuu, maswali yametembea kimtindo..?
 
Ok.. wiki ilopita tumipiga za Ma-Scientist, Engeener, Technician Ila wakisema placements zitatoka after 2 week
Inawezekana waka release, baada ya 2 weeks, kama zilizimamiwa na chuo chenyew japo kuwa kuna kua na member wa PSRS hapo ku hakikisha zoezi linaenda sawa. But PSRS pia huwa wanawambia watu waangalie matokeo baada ya week 2 mara nyingi, ilaa inapitiliza adi miezi. Nahisi kanuni zinasema matokeo yanaanza kutoka baada ya week 2 kama sio 3 na wawo wanajibu kulingana na kanuni, hawawezi sema subiri miezi miwili au mitatu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yaaap, alikuwepo mwakilishi mmoja kutoka psrs Ila panel yote ni cabinet kutoka UDSM,, yaan malecturer.
Tena walikuwa na HR wao mmoja wa palepale UDSM😁
 
Matokeo yenu tayari na barua tayari mshaandaliwa ni suala la muda tu
Nakumbuka kiongozi mwifwa alisema barua zao zilikuwa tayari tangu tarehe 7 december ila wakaitwa january
Yeah, inaoekana barua huwa inaandaliwa mapema, nafikiri mtihani upo katika kutia sahihi/signature mkuu wa wakandaji. Fikiria watu 400+ itabidi atumie siku ngapi kukamilisha hilo zoezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…