Obviously napenda influences kama hizi Huwa zinasaidia kiondoa msongo wa mawazo.. yaan Ile unarecall jinsi ulivyofanya Usaili, swali Fulani lilikushinda inakondesha kabisaYote tutafakari humu lakini MUNGU ndo Kila kitu....Kila jambo tunalofanya na kukutana nalo tunapaswa kumshukuru MUNGU. Inawezekan ulijibu maswali yote vibaya lakini kwa msaada wake MUNGU ukafaulu. MUNGU akiona wakati wako imefika hakuna wa kuzuia.
Kweli kabisa,Tuzidi Kumuachia yeye.Yote tutafakari humu lakini MUNGU ndo Kila kitu....Kila jambo tunalofanya na kukutana nalo tunapaswa kumshukuru MUNGU. Inawezekan ulijibu maswali yote vibaya lakini kwa msaada wake MUNGU ukafaulu. MUNGU akiona wakati wako imefika hakuna wa kuzuia.
Kaka asante sana kwa kutukumbusha, jambo jema hiliYote tutafakari humu lakini MUNGU ndo Kila kitu....Kila jambo tunalofanya na kukutana nalo tunapaswa kumshukuru MUNGU. Inawezekan ulijibu maswali yote vibaya lakini kwa msaada wake MUNGU ukafaulu. MUNGU akiona wakati wako imefika hakuna wa kuzuia.
Asante sana ndugu yangu, hakika tukk njiani Mungu ni Mwema,Kila la kheri kwenye mapambano ya mrija wa asali kama kawaida na waombeeni kheri muingie kwenye mrija wa asali
BIG pointNdugu zangu huku mkiwa mnasubili mchongo wa mrija wa asali wa serikali basi wale wanao sikia pia kazi zimetangazwa kwenye sekta binafsi share hapa wadau waombe
Ingia huku mbona michongo mingi tuNdugu zangu huku mkiwa mnasubili mchongo wa mrija wa asali wa serikali basi wale wanao sikia pia kazi zimetangazwa kwenye sekta binafsi share hapa wadau waombe
Hapo sawa[emoji23][emoji23], hiyo ni terminology ya kilimo, ikimaanisha magugu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe jamaa utakua bado hujalamba asali unatudanganya, still una hasira kinoma!
Kweli kabisa,subira ni muhimu sana.
nili ji introduce full name yangu,umri na elimu yangu.Ulijitambulusha vipi mkuu paka kuambiwa hvyo?
Hahahahah wewe jamaa una vituko sana....Ure so Welcome Mfwende wa UT from Singida.nili ji introduce full name yangu,umri na elimu yangu.
nilianzia level degree mpaka primary huku nikigusia mwaka niliohitimu hio elimu per each.
nikajisifu kuwa nimezaliwa familia yenye background ya hii kazi niliyo omba
nikamalizia experience yangu (taasisi mbili tofauti) ambapo experience angu nilitaja duties zinazoe elekeana na tangazo la kazi,then nikasema thank you
panelist mkuu pale akanambia very good, tulipoanza kwenye class questions sikulisikia tena neno good wakuu,zaidi ya ure so welcome mfwende.
Very good Mr. Mfwendenili ji introduce full name yangu,umri na elimu yangu.
nilianzia level degree mpaka primary huku nikigusia mwaka niliohitimu hio elimu per each.
nikajisifu kuwa nimezaliwa familia yenye background ya hii kazi niliyo omba
nikamalizia experience yangu (taasisi mbili tofauti) ambapo experience angu nilitaja duties zinazoe elekeana na tangazo la kazi,then nikasema thank you
panelist mkuu pale akanambia very good, tulipoanza kwenye class questions sikulisikia tena neno good wakuu,zaidi ya ure so welcome mfwende.
Nawinda kotee mkuuHahahahah wewe jamaa una vituko sana....Ure so Welcome Mfwende wa UT from Singida.
Mzee wa Ndoigenili ji introduce full name yangu,umri na elimu yangu.
nilianzia level degree mpaka primary huku nikigusia mwaka niliohitimu hio elimu per each.
nikajisifu kuwa nimezaliwa familia yenye background ya hii kazi niliyo omba
nikamalizia experience yangu (taasisi mbili tofauti) ambapo experience angu nilitaja duties zinazoe elekeana na tangazo la kazi,then nikasema thank you
panelist mkuu pale akanambia very good, tulipoanza kwenye class questions sikulisikia tena neno good wakuu,zaidi ya ure so welcome mfwende.
pamoja luteniVery good Mr. Mfwende
Safi Kikubwa kutakakokubali huko hukoNawinda kotee mkuu
Ndo inavotakiwa mkuu.Nawinda kotee mkuu