nili ji introduce full name yangu,umri na elimu yangu.
nilianzia level degree mpaka primary huku nikigusia mwaka niliohitimu hio elimu per each.
nikajisifu kuwa nimezaliwa familia yenye background ya hii kazi niliyo omba
nikamalizia experience yangu (taasisi mbili tofauti) ambapo experience angu nilitaja duties zinazoe elekeana na tangazo la kazi,then nikasema thank you
panelist mkuu pale akanambia very good, tulipoanza kwenye class questions sikulisikia tena neno good wakuu,zaidi ya ure so welcome mfwende.