Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kila la kheri katika ufyondhaji wa mrija wa asali mkuu!!!

Umesharipoti job mkuu?
 
mkuu nimejikuta nimekua mdau wa huu uzi, hio post niliopiga juzi nami nina selected for null kwenye app yao, ngoja tuone wataamua nn ama nitalamba asali
mkuu nimejaribu kupitia pitia selected for null ipo kwa wote walioattend interview ila pdf ikitoka baada ya mda utakuta not selected for null kama jina halikubahatika kuingia kwenye list.
 
Pengine ana mtu wake mkuu, pia mtandaoni inabid uwe smart sna wanao fake ni percent kubwa sna.

Kwa hiyo kama me nasubiri placement za TRA ktk website inasoma SELECTED FOR ORAL ktk app inasoma NOT SELECTED FOR NULL kwa hiyo apo tayar nimekandwa
 
Hello guys..?

Hopes mko wazima, eti how comes kazi za PSRS wanataja relevant qualifications but tangazo la kazi halipo kwenye category yako?

Mfano hizi kazi za WCF wamezotoa wanahitaji Compliance Officer 2 wametaja kozi kama Economics, Marketing, Finance, Social Security Administration, Insurance,Business Administration na equivalent qualifications, je hapa Agricultural Economics hawezi kuomba? Na kama anaweza how maana kwenye category ambayo kozi ya Agricultural Economics inapatikana tangazo alipo.
 
mkuu nimejaribu kupitia pitia selected for null ipo kwa wote walioattend interview ila pdf ikitoka baada ya mda utakuta not selected for null kama jina halikubahatika kuingia kwenye list.
Hii sio kweli kabisa....

Kuna Oral nilifanya 2020 ila kwenye app bado ni selected for null

Pia kuna watu waliwekewa Not selected for null baada ya oral tu, hapo hata pdf haijatoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…