Dr Ahmed Albah-Shahwa
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 848
- 1,604
Nyie inabidi muwe wapole kwanza kuna watu wa UDOM bado hawajapata placement, embu subirini kuanzia march to april.Kwaiyo mnamaanisha wale waliofanya mamlaka ya mapato mkeka utatoka leo mazaga one
selected for oral glucose[emoji16]
Sio UDOM,Kuna watu wa November hawajapata placement hadi Sasa..Nyie inabidi muwe wapole kwanza kuna watu wa UDOM bado hawajapata placement, embu subirini kuanzia march to april.
Inaonekana wewe ulifanya usaili UDOM??Nyie inabidi muwe wapole kwanza kuna watu wa UDOM bado hawajapata placement, embu subirini kuanzia march to april.
Placement niliokuwa nasubiria tayari wameshaitwa kazini, lkn stutus pia imebadilika KUTOKA SELECTED FOR null hadi SELECTED FOR Practical Interview.SELECTED FOR ORAL interview
Hii hauwezi kuomba mkuuHello guys..?
Hopes mko wazima, eti how comes kazi za PSRS wanataja relevant qualifications but tangazo la kazi halipo kwenye category yako?
Mfano hizi kazi za WCF wamezotoa wanahitaji Compliance Officer 2 wametaja kozi kama Economics, Marketing, Finance, Social Security Administration, Insurance,Business Administration na equivalent qualifications, je hapa Agricultural Economics hawezi kuomba? Na kama anaweza how maana kwenye category ambayo kozi ya Agricultural Economics inapatikana tangazo alipo.
Hii nadhani ni Kwa wote....kama ulivyoleta ushuhuda hapaPlacement niliokuwa nasubiria tayari wameshaitwa kazini, lkn stutus pia imebadilika KUTOKA SELECTED FOR null hadi SELECTED FOR Practical Interview.
Wewe si ulisema jumanne mkeka unatoka mazaga one
Hapana UDOM wenyewe hawapitii psrs ivyo wanaweza kuwahi kuliko nyie wa LGA na MDAInaonekana wewe ulifanya usaili UDOM??
Walikuwa wanamaanisha wiki 3 ya wiki ya tatu yake ya yatatu yake ya wiki ijayo hukuwauliza vizuri.Ila mbona siku ya oral ile( Tra) , walisema majibu ni baada ya 3 weeks!
OkWadau huko Juu ndio wamesema nami nikasema ngoja tusubiri.
Mimi sijui chochote kuhusu Hilo.
ulifanya practical kwenye huo usaili ?Placement niliokuwa nasubiria tayari wameshaitwa kazini, lkn stutus pia imebadilika KUTOKA SELECTED FOR null hadi SELECTED FOR Practical Interview.
Sema ukianza kuhesabia kutokea 17 January, leo ndio wiki ya 3 imetimia tusubirie baada ya leo huenda walimaanisha.Ila mbona siku ya oral ile( Tra) , walisema majibu ni baada ya 3 weeks!
"Selected for practical asanteni kwa kushiriki msisite tena kuomba nafasi zikitoka"Placement niliokuwa nasubiria tayari wameshaitwa kazini, lkn stutus pia imebadilika KUTOKA SELECTED FOR null hadi SELECTED FOR Practical Interview.
Kama Kila mtu mtu Iko hvyo Sasa aliyepata ni nani.. labda ww hujishangae kwann hyo yako haijachange kama ya wenzio"Selected for practical asanteni kwa kushiriki msisite tena kuomba nafasi zikitoka"
Alisikika mlamba asali mmoja akisema
Mimi nina received tu mzee.usipaniki ..Kama Kila mtu mtu Iko hvyo Sasa aliyepata ni nani.. labda ww hujishangae kwann hyo yako haijachange kama ya wenzio
Nashangaa pia tunafuta mwezi sasaTawile #@Sekretarieti ya Ajira
Mmegoma kutoa majibu ya written MDAs and LGAs