TUnique
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 286
- 662
ulifanya practical kwani ?Kila mtu selected for practical ila mi yangu imeng'ang'ania kwenye selected for oral, ata ni refresh vip.
Sijui ndo baba Jeni bye bye[emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulifanya practical kwani ?Kila mtu selected for practical ila mi yangu imeng'ang'ania kwenye selected for oral, ata ni refresh vip.
Sijui ndo baba Jeni bye bye[emoji16][emoji16]
Yeah nilifanyaulifanya practical kwani ?
apo naisi umetoboa. ila yule alifanya practical alafu akute selected for practical imeng'ang'ania mule kuna walakiniYeah nilifanya
Mimi mwenyewe nakata kujua mkuu.Salary scale yao ni ipi?
Hawa jamaa wanazingua sana. Yaani mtihani tumefanya tangu tarehe 14/01/2022 mpaka leo kimya. Hatuelewi shida nini? watupe matokeo yetu tujue kama kuna kusubiri oral au mizinguo.Tawile #@Sekretarieti ya Ajira
Mmegoma kutoa majibu ya written MDAs and LGAs
Placement za leo 7th F
Placement za leo 7th February 2023
Naona wamerudi hadi juni karibu wa may 2022 tutafikiwaPlacement za leo 7th February 2023
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bado pdf 1 ya usiku wa leo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jiandaeni kisaikolojia.
Wanakwama parefuNashangaa pia tunafuta mwezi sasa
Wiki 3 bado hazijaisha Mkuu, vuta subiraSiku tuliofanya oral ( tra) , walitangaza majibu baada ya 3 weeks!
Tulifanya oral tarehe ilikua j1 , akasema wiki tatu kuanzia j3 ambayo tareh 9 . . Acha nivute subra ila wiki 3 tayar BossWiki 3 bado hazijaisha Mkuu, vuta subira
psrs walimaliza kuendesha zoezi la oral kwa kada za TRA tarehe 17 january. Natumaini hizo wiki tatu zitakuwa zinahesabiwa kutokea tarehe ya mwisho ya usaili walipomalizia.Tulifanya oral tarehe ilikua j1 , akasema wiki tatu kuanzia j3 ambayo tareh 9 . . Acha nivute subra ila wiki 3 tayar Boss
psrs waliomaliza kuendesha zoezi la oral kwa kada za TRA tarehe 17 january. Natumaini hizo wiki tatu zitakuwa zinahesabiwa kutokea tarehe ya mwisho ya usaili walipomalizia.
Pia Mkuu TRA kwa miaka yote ya nyuma ukiangalia wanajitahid sana kuwahi kuwaita watu kazini ndani ya wiki 3 baada ya tarehe ya mwisho ya oral.
Kwasababu wiki 3 hazijaisha Mkuu vuta subira, mambo yanaenda kuwa sawa.