Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Waliopata kwa nafasi zilizotoka leo, Mungu awasimamie muwe na utumishi mwema. Na Tuliobaki Tuendelee kuvuta subira, mwezi huu umeanza vizur kwa placement takriban 3 ndani ya siku 7 tu. nawatikieni shughuli njema za kazi za Kila siku, huku tukiendelea kusibiri placements.
 
Tulifanya oral tarehe ilikua j1 , akasema wiki tatu kuanzia j3 ambayo tareh 9 . . Acha nivute subra ila wiki 3 tayar Boss
psrs walimaliza kuendesha zoezi la oral kwa kada za TRA tarehe 17 january. Natumaini hizo wiki tatu zitakuwa zinahesabiwa kutokea tarehe ya mwisho ya usaili walipomalizia.
Pia Mkuu TRA kwa miaka yote ya nyuma ukiangalia wanajitahid sana kuwahi kuwaita watu kazini ndani ya wiki 3 baada ya tarehe ya mwisho ya oral.
Kwasababu wiki 3 hazijaisha Mkuu vuta subira, mambo yanaenda kuwa sawa.
 
Week ya tatu si ndo kesho 😀 kwahyo kesho kuna mkeka mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…