HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu, Mimi saili yangu nilofanya November imebadilika huko kwenye APP Sasa imeandika "SELECTED FOR practical interview Hali ya kuwa Wala sikufanya hyo Practical interview 😂😂
Kuna Moja ilikuwa selected for null lakini leo hakuna chochote sehemu ya status.
 
Mkuu uko sawa , ila yule jamaa wa utumishi alitwambia kwa tarehe ile tuliofanya ~ ila acha tuvute subra. Tareh 17 to today ni week tatu kamil ~ Allah atatuwezesha
 
Mkuu uko sawa , ila yule jamaa wa utumishi alitwambia kwa tarehe ile tuliofanya ~ ila acha tuvute subra. Tareh 17 to today ni week tatu kamil ~ Allah atatuwezesha
Me naona kama wakati mwingine ni kujipa stress za bure tu,ukisha kufanya oral we potezea fanya issues zingine ,majibu yatakavyokuja utayapokea kama yalivyo,ila sasa ukianza kuhesabu siku za matokeo kutoka unakuta halafu bahati mbaya yakaja vibaya, unaweza kuwachukia utumishi bure uhisi hawajakutendea haki.
 
Kwa kua ww walamba asal tayar eeh
 
Mkuu, Mimi saili yangu nilofanya November imebadilika huko kwenye APP Sasa imeandika "SELECTED FOR practical interview Hali ya kuwa Wala sikufanya hyo Practical interview [emoji23][emoji23]
Status ni kitendawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…