Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Na hivyo siku hizi ni mpaka Utumishi kama unataka kua TA interview ikikupita utakaa benchi sana

Hili ni sahihi Mkuu, kwa sababu inachukua karibu mwaka mzima tangu taasisi ipeleke mahutaji yake Utumishi mpaka kuja kuwapata.

Wengi huwa tunadhani tukiona tangazo ndipo muda taasisi husika imepeleka mahitaji yao, kumbe kuna kuwa na miezi imeshakatika, hapo bado kusubiri Saili zipangwe!
 
Huwezi kusoma vyote ila let's say ulisoma Economics komaa vya kutosha uelewe ile Economics 101. Huko kwengine utaongezea kutokana na unavyoona ila pia upitiepitie research.
Thanks mkuu
 
Engeneer kachafukwa
Wanakera Sana hawa pimbi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwaisa , na madesa yote magumu plus vitimbwi vya maprofessor na ugumu WA masomo ya chuo Engineer mzima naletewa kejeli za kiwaki na hawa pimbi WA utumishi.

Aisee narusha bomu la nuclear ofisi za utumishi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…