HS CODE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 1,784
- 4,376
Na tuliokandwa mara kadhaa tunaruhusiwa kuleta shuhuda zetu?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha, sio vibaya mkileta Mkuu. Imebidi niombe shuhuda za hao watu kwa sababu naamini kuna watu wamekandwa mara mbili au tatu na wameshakata tamaa, wakiona historia za wenzao waliokandwa na bado wakakomaa mpaka wakafanikiwa itawaamsha sana morali.