Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Na tuliokandwa mara kadhaa tunaruhusiwa kuleta shuhuda zetu?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hahaha, sio vibaya mkileta Mkuu. Imebidi niombe shuhuda za hao watu kwa sababu naamini kuna watu wamekandwa mara mbili au tatu na wameshakata tamaa, wakiona historia za wenzao waliokandwa na bado wakakomaa mpaka wakafanikiwa itawaamsha sana morali.
 
Kweli mkuu nimekupata.

Tatizo la kada zingine, nafasi ni rare sana kutoka. Unaweza kusubiri miaka kadhaa inakuja kutoka nafasi 1 tu
 
Mkuu, hawa utumishi naona hawataki tu kutoka MIKEKA mingine ya Usaili.. tatizo ni nn hebu nisaidie we Mbobezi wa haya mambo.
Labda nimebobea kukandwa mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Ratiba ya mwezi huu naona imetamatika, tuendelee kubet mwezi kesho kama kutakuwa na ratiba ya mikando tena.

Nahisi shortlisted ambazo hazijatoka zinaweza kutoka na kufanyika mwezi kesho halafu hapo tutasubiri placements mwakani au mwishoni mwa mwaka huu..
 
😂😂😂😂Hataki mwili upoe utumishi watakuja kuua mtu
 
Labda nimebobea kukandwa mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Ratiba ya mwezi huu naona imetamatika, tuendelee kubet mwezi kesho kama kutakuwa na ratiba ya mikando tena.

Nahisi shortlisted ambazo hazijatoka zinaweza kutoka na kufanyika mwezi kesho halafu hapo tutasubiri placements mwakani au mwishoni mwa mwaka huu..
Bado una mikando mingapi mkuu?
 
Wakuu nipeni mbinu ya kusoma ili nipambane vema hizi saili za UTUMISHI, maana nilisoma kitambo na material s yashaanza kupotea. Ninyi mnatumia mbinu gani
Huwezi kusoma vyote ila let's say ulisoma Economics komaa vya kutosha uelewe ile Economics 101.

Huko kwengine utaongezea kutokana na unavyoona ila pia upitiepitie research.
 
Back
Top Bottom