mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
Ngoja tusubirie mkuuMimi nimebakisha NAOT kwenye profile yangu, ndio naendelea kuisikilizia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tusubirie mkuuMimi nimebakisha NAOT kwenye profile yangu, ndio naendelea kuisikilizia
yaah mkuuMkuu,kumbe we ni mchumi?
Hongera mzeeyaah mkuu
pitia kwenye commnt kuna mtu alijibiwaHiyo taarifa mbona siioni kwenye IG page yao mkuu?
daah hizi mambo za utumishi zinaleta stress sanaHii wiki huenda mkeka mmoja wapo wa September ukamwagwa.
Nina kimeo changu kimoja hapo ndio nakisikilizia huko Utumishi. Stress tupudaah hizi mambo za utumishi zinaleta stress sana
Tuombe tu Mungu afanye maajabu aseehNina kimeo changu kimoja hapo ndio nakisikilizia huko Utumishi. Stress tupu
AmenTuombe tu Mungu afanye maajabu aseeh
Sawa mkuupitia kwenye commnt kuna mtu alijibiwa
Intet ndio nini?Wadau.. ety nasikia Kuna MIKEKA ya intet iliwekwa but imeondolewa.. ni kweli..? Na kama kweli kwa aliyewahi kuiona ni Taasisi zipi hizo..?
intet ndo nini mzee??Wadau.. ety nasikia Kuna MIKEKA ya intet iliwekwa but imeondolewa.. ni kweli..? Na kama kweli kwa aliyewahi kuiona ni Taasisi zipi hizo..?
Ohy.. nimechapia hapo niliandika kwa haraka Huku natembea.. ni InterviewIntet ndio nini?
Typing error.. ni Interviewintet ndo nini mzee??
Lini?Intet ndio nini?
Mikeka ya taasisi gani na umesikia lini?Wadau.. ety nasikia Kuna MIKEKA ya interview iliwekwa but imeondolewa.. ni kweli..? Na kama kweli kwa aliyewahi kuiona ni Taasisi zipi hizo..?
Hawajaweka mzee mimi kila dakika nacheki hamna kituTyping error.. ni Interview
Hawajaweka mimi kila dakika naingia aiseeeHawajaweka mzee mimi kila dakika nacheki hamna kitu
Huyo mdao katype humuhumu JF Ila ni thread tofauti na hii... so my intention ni kufahamu kama kweli.. ili tukeshe kwenye web yao kucheck hyo mikekaJifunze kuchuja taarifa kabla ya kuileta jf.