Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Eehee, ngoja nikae sawa niikodolee machoKuna bonge la shortlist limebandikwaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eehee, ngoja nikae sawa niikodolee machoKuna bonge la shortlist limebandikwaaaa
Nchi ni yetu sote, tunakamuliwa hata pasipo na chuchu. Tuingie tu huko kwenye mirija ili waendeleze cycle yao vizuri ya kutulipa na kutukata hapo hapo kwa matozo yaoDuuuh huu mwaka tujitahidi wale wote tunaotaka kuingia kwenye mrija kama Mwifwa anavosema...
Kama serikali akiajiri hizi nafasi, hapa kutoka nyingine mpaka 2025
Hongereni wapambania mrija wa Asali waliokuwa shortlisted na mapambano yakawe kheri.
Mikeka yangu 2 imetiki kwa shortlist imebaki mikeka 3, Muumba endelee kufungua njia ya mrija wa Asali
Upi na upi?Hongereni wapambania mrija wa Asali waliokuwa shortlisted na mapambano yakawe kheri.
Mikeka yangu 2 imetiki kwa shortlist imebaki mikeka 3, Muumba endelee kufungua njia ya mrija wa Asali
Haijagongana. Mkeka wa 1 ni tarehe 6 mchujo then tarehe 8 oral.(huu wote utafanyikia Dom)Hyo mikeka miwili iliyotick haijagongana siku za Ussili..?
All the best Mkuu.Hajagongana. Mkeka wa 1 ni tarehe 6 mchujo then tarehe 8 oral.(huu wote utafanyikia Dom)
Mkeka wa 2 ni tarehe 10 mchujo then oral taerehe 12(Huu wote utafanyikia Dar).
Ngoja nijipange nikatupie karata kote, then nature ifanye yake
All the bestHajagongana. Mkeka wa 1 ni tarehe 6 mchujo then tarehe 8 oral.(huu wote utafanyikia Dom)
Mkeka wa 2 ni tarehe 10 mchujo then oral taerehe 12(Huu wote utafanyikia Dar).
Ngoja nijipange nikatupie karata kote, then nature ifanye yake
Hongera mkuu.. weka dua. mi nishamenyeka mmoja nasubir kama ntachaguliwa..Hongereni wapambania mrija wa Asali waliokuwa shortlisted na mapambano yakawe kheri.
Mikeka yangu 2 imetiki kwa shortlist imebaki mikeka 3, Muumba endelee kufungua njia ya mrija wa Asali
Hongera mkuu.. weka dua. mi nishamenyeka mmoja nasubir kama ntachaguliwa..
mkuu ushaanza kukata tamaa?... ungeenda tu nakushauri.. unaweza usipate kazi ila ukashangaa umepata mwenza wa maisha..Nimejiona naona itakuwa INTERVIEW yangu ya kwanza Dodoma, lakini kwa lileee nyomi la watu Daaah halafu nafasi ni mbili.
Naona uvivu kuji search mfukoni
nishapiga interview maana yakeKumenyeka kivipi boss
Livemkuu ushaanza kukata tamaa?... ungeenda tu nakushauri.. unaweza usipate kazi ila ukashangaa umepata mwenza wa maisha..
ORCIUpi na upi?
Ahsante mkuu, Mgawa riziki aendelee kugawa neema yake.All the best Mkuu.
Ahsante sana mkuuAll the best
Ahsante mkuu, endelea kuwa subira Muumba atafanya yakeHongera mkuu.. weka dua. mi nishamenyeka mmoja nasubir kama ntachaguliwa..
Kumbe una professional ya afya mkuu?nikajua nawe uko huku kwetu kwenye mabiasharaORCI
Hili nalo neno,vijana tuliangalie Kwa upana hili...mkuu ushaanza kukata tamaa?... ungeenda tu nakushauri.. unaweza usipate kazi ila ukashangaa umepata mwenza wa maisha..
Pdf nyingine loading.........31/08/2022 ya mwisho kwa leo