Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu Hivi kama mtu akikosa kitambulisho Cha NIDA, yaani ana namba ya NIDA tu, ni kitu kipi anapaswa kuwa nacho instead ya Kitambulisho Cha NIDA ? ( NOTE: hana passport, hana Kitambulisho Cha mpiga kura)
Barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa au kijiji note : hakikisha unaooandikiwa isikosewe hata herufi moja majina yote yaendane na vyeti vyako
 
Mkuu, huyo barua so inaweza ikaandikwa kwa mkono tu..
Ety
Mwenyekiti/S mtaa anazo anajaza tu majina zipo typed tayari ni 2000 ila hakikisha tu majina yasikosewe wala kufuta futa utumishi pale huwa wanazingatia sana kama kigezo cha kukuchomoa istoshe wanachoangalia ni uwiano wa majina yanaendana na vyeti vyako tu
 
Mkuu, naona kama sijakupata vizuri, Sasa labda nikueleweshe kitu.. Mimi nipo kijijini, hivyo kwenye uongozi wa hiki kijiji chetu upo kama ifuatavyo;-
• kuna mwenyekiti wakitongoji(au naweza kusema mwenyekiti wa Barabara au mtaa wetu).

• Halafu kuna mwenyekiti wa kijiji(yaan ni mwenyekiti wa kijiji chetu chote).
Kumbuka kuwa, viongozi wote wawili wa hapo juu tuliwapata katika uchaguzi wa Serikali ya mitaa held mwaka 2019.

• halafu kuna Mtendaji wa kijiji ambaye kaletwa na serikali na anapokea mshahara kutoka serikalini au Halmashauru yetu ya wilaya..
Huyu hatukumchagua Wananchi

Sasa hapa nianzie kwa nani au barua inayohitajika ni ya nani kati ya hao viongozi wangu wa3..?
Mwenyekiti/S mtaa anazo anajaza tu majina zipo typed tayari ni 2000 ila hakikisha tu majina yasikosewe wala kufuta futa utumishi pale huwa wanazingatia sana kama kigezo cha kukuchomoa istoshe wanachoangalia ni uwiano wa majina yanaendana na vyeti vyako tu
 
Mkuu, naona kama sijakupata vizuri, Sasa labda nikueleweshe kitu.. Mimi nipo kijijini hvyo kwenye uongozi was hiki kijiji chetu upon kama ifuatavyo.kuna mwenyekiti was kitongoji(aubnaweza kusema mwenyekiti was Barbara au mtaa wetu)halafu kuna mwenyekiti was kijiji(yaan ni mwenyekiti was kijiji chetu chote) halafu kuna Mtendaji wa kijiji ambaye kaletwa na serikali na anapokea mshahara kutoka serikalini au Halmashauru yetu ya wilaya..
Sasa hapa nianzie kwa nani aua barua inayohitajika ni ya nani kati ya hao viongozi wangu wa3..?
Mwenyekiti wa kitongoji anzia, akupe barua ya kukutambulisha, nenda nayo kwa mwenyekiti wa kijiji atabaki nayo then atakujazia hiyo yako. Ni 2000
 
Mkuu, naona kama sijakupata vizuri, Sasa labda nikueleweshe kitu.. Mimi nipo kijijini hvyo kwenye uongozi was hiki kijiji chetu upon kama ifuatavyo.kuna mwenyekiti was kitongoji(aubnaweza kusema mwenyekiti was Barbara au mtaa wetu)halafu kuna mwenyekiti was kijiji(yaan ni mwenyekiti was kijiji chetu chote) halafu kuna Mtendaji wa kijiji ambaye kaletwa na serikali na anapokea mshahara kutoka serikalini au Halmashauru yetu ya wilaya..
Sasa hapa nianzie kwa nani aua barua inayohitajika ni ya nani kati ya hao viongozi wangu wa3..?
Mtafute mwenyekiti wa kitongoji atakusaidia kila kitu na hao ndiyo wanazo hizo barua za itambulisho
 
Wakuu Hivi kama mtu akikosa kitambulisho Cha NIDA, yaani ana namba ya NIDA tu, ni kitu kipi anapaswa kuwa nacho instead ya Kitambulisho Cha NIDA ? ( NOTE: hana passport, hana Kitambulisho Cha mpiga kura)
Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;

iv. Vitambulisho vinavyokubalika ni kati ya vifuatavyo:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Lesseni ya Udereva, Barua ya Utambulisho toka Serikali ya Mtaa/Kijiji, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria;

v. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji;

vi. Wasailiwa watakaowasilisha“Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI;
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom