Samson mwigune
Senior Member
- Aug 15, 2022
- 110
- 279
Naiona ijumaa iliyopangwa na munguNadhani hii wiki haipiti zaidi ya 99% mtamalizana na Utumishi kwenye suala la kuitwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naiona ijumaa iliyopangwa na munguNadhani hii wiki haipiti zaidi ya 99% mtamalizana na Utumishi kwenye suala la kuitwa.
Barua ya kutambulishwa Toka kwa Afisa mtendaji wa mtaa wakoWakuu Hivi kama mtu akikosa kitambulisho Cha NIDA, yaani ana namba ya NIDA tu, ni kitu kipi anapaswa kuwa nacho instead ya Kitambulisho Cha NIDA ? ( NOTE: hana passport, hana Kitambulisho Cha mpiga kura)
Barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa au kijiji note : hakikisha unaooandikiwa isikosewe hata herufi moja majina yote yaendane na vyeti vyakoWakuu Hivi kama mtu akikosa kitambulisho Cha NIDA, yaani ana namba ya NIDA tu, ni kitu kipi anapaswa kuwa nacho instead ya Kitambulisho Cha NIDA ? ( NOTE: hana passport, hana Kitambulisho Cha mpiga kura)
Barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa au kijiji note : hakikisha unaooandikiwa isikosewe hata herufi moja majina yote yaendane na vyeti vyako
Nenda serikali za mitaa kwa mtendaji au mwenyekiti wa mtaa na barua yako ya utambulisho kutoka kwa mjumbe then huyo atakuandikia barua ya utambulisho. Ni 2000 tuMkuu, huyo barua so inaweza ikaandikwa kwa mkono tu..
Ety
Asante mkuuBarua ya utambulisho toka serikali ya mtaa au kijiji note : hakikisha unaooandikiwa isikosewe hata herufi moja majina yote yaendane na vyeti vyako
Mwenyekiti/S mtaa anazo anajaza tu majina zipo typed tayari ni 2000 ila hakikisha tu majina yasikosewe wala kufuta futa utumishi pale huwa wanazingatia sana kama kigezo cha kukuchomoa istoshe wanachoangalia ni uwiano wa majina yanaendana na vyeti vyako tuMkuu, huyo barua so inaweza ikaandikwa kwa mkono tu..
Ety
Mwenyekiti/S mtaa anazo anajaza tu majina zipo typed tayari ni 2000 ila hakikisha tu majina yasikosewe wala kufuta futa utumishi pale huwa wanazingatia sana kama kigezo cha kukuchomoa istoshe wanachoangalia ni uwiano wa majina yanaendana na vyeti vyako tu
Mwenyekiti wa kitongoji anzia, akupe barua ya kukutambulisha, nenda nayo kwa mwenyekiti wa kijiji atabaki nayo then atakujazia hiyo yako. Ni 2000Mkuu, naona kama sijakupata vizuri, Sasa labda nikueleweshe kitu.. Mimi nipo kijijini hvyo kwenye uongozi was hiki kijiji chetu upon kama ifuatavyo.kuna mwenyekiti was kitongoji(aubnaweza kusema mwenyekiti was Barbara au mtaa wetu)halafu kuna mwenyekiti was kijiji(yaan ni mwenyekiti was kijiji chetu chote) halafu kuna Mtendaji wa kijiji ambaye kaletwa na serikali na anapokea mshahara kutoka serikalini au Halmashauru yetu ya wilaya..
Sasa hapa nianzie kwa nani aua barua inayohitajika ni ya nani kati ya hao viongozi wangu wa3..?
Mtafute mwenyekiti wa kitongoji atakusaidia kila kitu na hao ndiyo wanazo hizo barua za itambulishoMkuu, naona kama sijakupata vizuri, Sasa labda nikueleweshe kitu.. Mimi nipo kijijini hvyo kwenye uongozi was hiki kijiji chetu upon kama ifuatavyo.kuna mwenyekiti was kitongoji(aubnaweza kusema mwenyekiti was Barbara au mtaa wetu)halafu kuna mwenyekiti was kijiji(yaan ni mwenyekiti was kijiji chetu chote) halafu kuna Mtendaji wa kijiji ambaye kaletwa na serikali na anapokea mshahara kutoka serikalini au Halmashauru yetu ya wilaya..
Sasa hapa nianzie kwa nani aua barua inayohitajika ni ya nani kati ya hao viongozi wangu wa3..?
Hapo sawa nimekupata Boss.. kumbe namalizana na hawa viongozi wangu niliowapigia kura wa Serikali za mitaa🙏🙏Mwenyekiti wa kitongoji anzia, akupe barua ya kukutambulisha, nenda nayo kwa mwenyekiti wa kijiji atabaki nayo then atakujazia hiyo yako. Ni 2000
YesHapo sawa nimekupata Boss.. kumbe namalizana na hawa viongozi wangu niliowapigia kura wa Serikali za mitaa[emoji120][emoji120]
Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;Wakuu Hivi kama mtu akikosa kitambulisho Cha NIDA, yaani ana namba ya NIDA tu, ni kitu kipi anapaswa kuwa nacho instead ya Kitambulisho Cha NIDA ? ( NOTE: hana passport, hana Kitambulisho Cha mpiga kura)
Asante mkuuKila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
iv. Vitambulisho vinavyokubalika ni kati ya vifuatavyo:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Lesseni ya Udereva, Barua ya Utambulisho toka Serikali ya Mtaa/Kijiji, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria;
v. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji;
vi. Wasailiwa watakaowasilisha“Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI;
Niko kwenye Afya mkuu,mwendazake alibadili mfumo ndipo tukafikia hatua hii mkuuKumbe una professional ya afya mkuu?nikajua nawe uko huku kwetu kwenye mabiashara
Tusubili placements Hadi keshoPlacement...... loading 1st Sept🪂
Ahsante sana mkuu.Maandilizi mema wote mlikuwa shortlist mkapambane dua sana kwenu